Kila nikilewa mke wangu anasearch kwenye wallet yangu

Kila nikilewa mke wangu anasearch kwenye wallet yangu

Yupo sahihi kama unaweza kupewa elfu50 huwezi kushindwa akiba ya laki6 nakuendelea matumizi humkizi
 
Hii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana!

Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu.

Your Sincerely,

Gwego.
atakuwa anaona kuliko wakusachi mabaamed bora na yeye asachi tu.
 
Kabla hujaenda kulewa mkabidhi hela na ubaki na za kulewea tu
Sina uzoefu na ulevi ila sio jambo jema
Kama unaweza acha kabisa
 
Kuacha ni ngum watu wa kagera pombe tumeabza tukiwa watoto! Ngara huko
Mkuu kuiacha ni maamuzi yako tu na wala sio lazima unywe kisa umezaliwa nayo

Sema bado unaipenda ila usiseme kuacha huwezi
Kuna watu nimewaona wameacha aidha kiuchumi na kifamilia au maamuzi tu ya kiafya
Na kuna jamaa nimewaona Figo zikifeli na maini ila waliendelea kunywa mpaka wakafa
. Kupanga ni kuchagua
Unaweza kuona ni sawa tu ila hata matumizi yake ni makubwa na madhara ni mabaya zaidi
Amua tu kuacha na utaona savings inaongezeka na furaha pia
 
Back
Top Bottom