Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Ndo ipo hvyo,niliwah kufanya kazi ya uwakala wa mitandao,sasa kuna pesa ambazo ziko mchanganyiko wa buku,buku mbili na elfu 10 nilikuwa naondoka nazo narudi nazo nyumban,afu zile ambazo zipo elfu kumi kumi kwenye bando bando za laki nikawa nazificha dukanHata usipolewa Wana search!
Sio wanawake wote, kama unamjali kwa kila kitu hii kitu haiwezi kutokea.Thubutu yake,hela unaacha nasearch upo!
Ninachojua wake zetu hawatusachi bali wanaangalia mienendo ya mifuko yetu... Wewe hushangai kwanini akikuta hela nyingi anakuletea ila akikuta vichenchi haongei?Wanasearch tuu hata usipolewa!
Una uhakika mleta mada hafanyi cha maana nyumbani?Mimi nachukua! Mtu analewa nyumbani hamna cha maana anachofanya.
Kama nikiwa nakuachia kila kitu utachukua?Mimi nachukua! Mtu analewa nyumbani hamna cha maana anachofanya.
Ndio! Kama anafanya na mke ni mwizi basi mke angekua anaiba wakati wowote bila kusubiri mume kalewa.Una uhakika mleta mada hafanyi cha maana nyumbani?
Nachukua! Hela haijawahi kutoshašKama nikiwa nakuachia kila kitu utachukua?
Vipi kama mke anamuogopa, anasubiri alewe?Ndio! Kama anafanya na mke ni mwizi basi mke angekua anaiba wakati wowote bila kusubiri mume kalewa.
HATA n ningekusachi mkuu dawa usilewe maisha ya sasa sio ya kulewaHii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana!
Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu.
Your Sincerely,
Gwego.
Kama anaogopa huyo sio mwizi!Vipi kama mke anamuogopa, anasubiri alewe?
Mkuu umeoa kibaka.Hii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana!
Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu.
Your Sincerely,
Gwego.
ilishanitokea Huwa ipo hivyo wanahisi bar Huwa tunapoteza pesa mingi wakati muda mwingine Wana tunasapotianaHii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana!
Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu.
Your Sincerely,
Gwego.
Huwa ipo hivyo wanahisi bar tunapoteza sana pesa ishanitokea lakini tangia nishtukie sasahivi NAISHI kwa amani na Moja kwa kumkichwaHii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana!
Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu.
Your Sincerely,
Gwego.
Kwanini nakusalimia hutaki, au sijaacha hela yakutosha?Nachukua! Hela haijawahi kutoshaš
Acha kulewa hiyo tabia ataachaHii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana!
Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu.
Your Sincerely,
Gwego.
SijisikiišKwanini nakusalimia hutaki, au sijaacha hela yakutosha?
Inamaana wewe una akili za kunywea pombe tu?Hii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana!
Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu.
Your Sincerely,
Gwego.
Kwendraa, unaringaaSijisikiiš