Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

Chakorii

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
18,773
Reaction score
51,429
Hello hello watu wangu wa nguvu mambo vipiiiii...😊😊
Natumai mko salama sana na mnaendelea vizuuuriii kabisa πŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€πŸ§šβ€β™€οΈ.

Nirudi kwenye kichwa cha habari sasa😁😁..
Aise wakuu bhana kila nikinywa kilevi chochote hata kama ni kidogo kiwe ni cha moto(room temperature)au cha baridi basi kesho yake ni lazima nipate mafua makali mnooooo Mpka naogopa mjue😁😁

Nimevumilia kwa muda lkni wapi.mwenye aliyekuwa na hali kama hii na akapata kupona naombeni mniambukize huo upako wa tiba jamani☹️☹️

Hazard CFC brother wa nyumbani kabisa naomba unitafutie mitishamba hii hali inanitishia ujue aiseh 😁😁
Na wengine woooooootee.

Kama uko karibu,,niko na juice ya mango mixed passion hapa karibuni sana wapendwa katika bwana πŸ₯‚πŸ₯‚

Uzi tayari πŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈ
 
Wokovu unakuita!

Dada mbona unaheri mi majanga yangu si unayajua nikinywa safari lager tu asubuhi najikuta chumba cha dada wa kazi! Heri wewe cha kufanya okoka tu dada yangu Mungu anakupenda..πŸ˜…
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†blaza nimecheka kwa sauti mno haki tena.
Ngoja nimwite Saint Anne aniwashe maombi na injili nirudi kundini😁😁
 
Hello hello watu wangu wa nguvu mambo vipiiiii...[emoji4][emoji4]
Natumai mko salama sana na mnaendelea vizuuuriii kabisa [emoji3344][emoji3317]‍[emoji3344].

Nirudi kwenye kichwa cha habari sasa[emoji16][emoji16]..
Aise wakuu bhana kila nikinywa kilevi chochote hata kama ni kidogo kiwe ni cha moto(room temperature)au cha baridi basi kesho yake ni lazima nipate mafua makali mnooooo Mpka naogopa mjue[emoji16][emoji16]

Nimevumilia kwa muda lkni wapi.mwenye aliyekuwa na hali kama hii na akapata kupona naombeni mniambukize huo upako wa tiba jamani[emoji3525][emoji3525]

Hazard CFC brother wa nyumbani kabisa naomba unitafutie mitishamba hii hali inanitishia ujue aiseh [emoji16][emoji16]
Na wengine woooooootee.

Kama uko karibu,,niko na juice ya mango mixed passion hapa karibuni sana wapendwa katika bwana [emoji1635][emoji1635]

Uzi tayari [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Acha pombe kunywa juice ya miwa matunda ,tahadhari kabla ya hatari
 
Bora wewe ukinywa kilevi unaamka na mafua

Mimi nikinywa serengeti Premium Lite ya baridi yaani huwa napitiwa na shetani mno

Nijitahidi kupunguza au kuacha kabisa ila wapi....

Akija Saint Anne kukushushia maombi naomba na mimi anikumbuke katika maombi yake nirudi kundini maana nitapotea na wakunirudisha kundini sioni/simuoni.
 
Back
Top Bottom