Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

Bora wewe ukinywa kilevi unaamka na mafua

Mimi nikinywa serengeti Premium Lite ya baridi yaani huwa napitiwa na shetani mno

Nijitahidi kupunguza au kuacha kabisa ila wapi....

Akija Saint Anne kukushushia maombi naomba na mimi anikumbuke katika maombi yake nirudi kundini maana nitapotea na wakunirudisha kundini sioni/simuoni.
Unatumia rough rider lakini??angalia usije ukakata moto we msukuma
 
Unatumia rough rider lakini??angalia usije ukakata moto we msukuma
Hapana huwa situmii hizo mambo mkuu....

Napenda sana kutembela limu hasa nyakati za usiku[emoji1]

Wewe ni mafua tu kuamka nayo au kuna vingine huwa unajikuta vimetokea pindi ukiwa umetumia kinywaji chenye kilevi/umelewa?
 
Kama Jana we acha tu tuliupokea kwa mbwembwe kweli Nina asilimia mia zote utaitwa shangazi maana alikuwa ananibinukia huyo kweli mwaka mpya na mambo mapya nimeyaona jana..😂
Usiniambie kaka kwahiyo jana blaza ulipiga game
 
Hapana huwa situmii hizo mambo mkuu....

Napenda sana kutembela limu hasa nyakati za usiku[emoji1]

Wewe ni mafua tu kuamka nayo au kuna vingine huwa unajikuta vimetokea pindi ukiwa umetumia kinywaji chenye kilevi/umelewa?
Endelea kutumia rimu tu usijali sawa ee..

Kwahiyo kwa madai yako unaweza ukanichunguza ukanipata😆😆😆subiri hapo hapo msukuma nakuletea faili langu
 
Usiniambie kaka kwahiyo jana blaza ulipiga game
We nae Unapenda udaku sikuwa Mimi hata hivyo ilikuwa ni safari lager! Ila alinipa ushirikiano wa kutosha maana nilikuwa Hadi naisikia akiifinyia kwa ndani! Halafu uno feni nilianza mpk kunena kwa lugha! Huyu beki tatu mtamu walahi..😋

Safari lager hoyeeee...😂
 
Wacha bhana..usiniambie.....😅😅🤛🤛🤛🤛🤛🤛🤛
 
ipo dawa ukitaka usiamke na mafua hakikisha kabla ya kulala ukitoka ulabuni tafuna tangawizi kipande utanipa majibu mambo ya kufungua makanisa tuwaachie akina St anne
Hapo sasa umeongea bill.🤛🤛🤛
Lini unaibuka kipande hii we mtu tufanye maajabu
 
Endelea kutumia rimu tu usijali sawa ee..

Kwahiyo kwa madai yako unaweza ukanichunguza ukanipata[emoji38][emoji38][emoji38]subiri hapo hapo msukuma nakuletea faili langu
Faili Oyeeeee!!

Rimu Oyeeeee!!

Msukuma Oyeeee!!
 
Back
Top Bottom