Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

Unatumia rough rider lakini??angalia usije ukakata moto we msukuma
 
Nakwambiaaje akianza kula udongo kama nyoka usije ukamtimua ..
Kama Jana we acha tu tuliupokea kwa mbwembwe kweli Nina asilimia mia zote utaitwa shangazi maana alikuwa ananibinukia huyo kweli mwaka mpya na mambo mapya nimeyaona jana..πŸ˜‚
 
Unatumia rough rider lakini??angalia usije ukakata moto we msukuma
Hapana huwa situmii hizo mambo mkuu....

Napenda sana kutembela limu hasa nyakati za usiku[emoji1]

Wewe ni mafua tu kuamka nayo au kuna vingine huwa unajikuta vimetokea pindi ukiwa umetumia kinywaji chenye kilevi/umelewa?
 
Kama Jana we acha tu tuliupokea kwa mbwembwe kweli Nina asilimia mia zote utaitwa shangazi maana alikuwa ananibinukia huyo kweli mwaka mpya na mambo mapya nimeyaona jana..πŸ˜‚
Usiniambie kaka kwahiyo jana blaza ulipiga game
 
Hapana huwa situmii hizo mambo mkuu....

Napenda sana kutembela limu hasa nyakati za usiku[emoji1]

Wewe ni mafua tu kuamka nayo au kuna vingine huwa unajikuta vimetokea pindi ukiwa umetumia kinywaji chenye kilevi/umelewa?
Endelea kutumia rimu tu usijali sawa ee..

Kwahiyo kwa madai yako unaweza ukanichunguza ukanipataπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†subiri hapo hapo msukuma nakuletea faili langu
 
Usiniambie kaka kwahiyo jana blaza ulipiga game
We nae Unapenda udaku sikuwa Mimi hata hivyo ilikuwa ni safari lager! Ila alinipa ushirikiano wa kutosha maana nilikuwa Hadi naisikia akiifinyia kwa ndani! Halafu uno feni nilianza mpk kunena kwa lugha! Huyu beki tatu mtamu walahi..πŸ˜‹

Safari lager hoyeeee...πŸ˜‚
 
Wacha bhana..usiniambie.....πŸ˜…πŸ˜…πŸ€›πŸ€›πŸ€›πŸ€›πŸ€›πŸ€›πŸ€›
 
ipo dawa ukitaka usiamke na mafua hakikisha kabla ya kulala ukitoka ulabuni tafuna tangawizi kipande utanipa majibu mambo ya kufungua makanisa tuwaachie akina St anne
Hapo sasa umeongea bill.πŸ€›πŸ€›πŸ€›
Lini unaibuka kipande hii we mtu tufanye maajabu
 
Endelea kutumia rimu tu usijali sawa ee..

Kwahiyo kwa madai yako unaweza ukanichunguza ukanipata[emoji38][emoji38][emoji38]subiri hapo hapo msukuma nakuletea faili langu
Faili Oyeeeee!!

Rimu Oyeeeee!!

Msukuma Oyeeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…