Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

Kila nikilewa napata mafua makali sana kesho yake

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]haki we hufai mama yangu mwanamke tena

Au nifanye mwisho ni kuanzia tarehe 10 [emoji23][emoji23] kuacha kitu kazi sana nilijisemea huu mwaka 2021 sinywi tena tarehe 1 ikapita, tarehe 2 jana uvumilivu ukanishinda kiu kikali sana. Ukifanikiwa kuacha nipe mbinu ulizotumia
 
Unaonaje tukiungana kwa pamoja tufanye maombi usiku wa manane ya kunena kwa lugha ili tuache pombe
 
Kitabia hatushindwani [emoji23] tunaunganika ili tuishinde tabia moja inayotukabili
😅😅😅kwahiyo tukiungana kwa pamoja tunampiga chini Mr Devo sio😂😂
 
Bora wewe ukinywa kilevi unaamka na mafua

Mimi nikinywa serengeti Premium Lite ya baridi yaani huwa napitiwa na shetani mno

Nijitahidi kupunguza au kuacha kabisa ila wapi....

Akija Saint Anne kukushushia maombi naomba na mimi anikumbuke katika maombi yake nirudi kundini maana nitapotea na wakunirudisha kundini sioni/simuoni.
Unapitiwa na shetani kwa mbele au kwa nyuma?
 
Utakuwa unakunywa maji mengi pia baada ya pombe.Ukinywa kidogo pia ni shida[emoji2]
 
Back
Top Bottom