Kila nikimuangalia Charity Ngilu huwa ananivutia sana msema kweli mpenzi wa Mungu

Watu tunatofautiana, wengine tunawaza hata tuwe mahouseboy huku wengine wanadatishwa na makwokwoo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ukawe houseboy kwa Hellen ? Hata hiyo nyumba anayo ? Huyo unazama DM huko instagram mnamalizana
 
Nampenda sana huyu mazeri hadi huwa namuota, ukikuta diary yangu daily nimemuandika charity yaani. Navutiwa nae sana bila sababu tu!
 

Ukiona vyapendeza na kuvutia ujue vimegharamiwa!!
😛😝😂🤣😁
 
View attachment 1202788
Na hapo Amemaliza makopo mawili ya Makeup na Studio lights zote zimewashwa na Camera flash juu

Na bado hajazeeka akizeeka balozi wa nyumba kumi anaweza kumuamuru ahame mtaa kwani watoto watakua wanaota usiku.
Anaeumia ni mimi kaka yake hapa. Tafadhali naomba umuache maana roho inaniuma sana mnavyomsema dada yangu.
 
Anaeumia ni mimi kaka yake hapa. Tafadhali naomba umuache maana roho inaniuma sana mnavyomsema dada yangu.
Kama dada yako anafanana hivyo basi wewe utakuwa unafanana hivi.

Pole kwa hasira

Yaani Photo copy
 
Sijui watoto wake wa Kike kama anao vitakuwa ni visu kwelikweli.
Ila kama kama ni Single mother mimi niko tayati tumalize nae kilometa zilizobakia
Bwana yake aliaga miaka kadhaa zilizopita. Kuna picha lake kwenye gazeti niliona akiwa amekaa chini na sketi kwa bahati mzuri ikaja juu nikaona paja laini nyororo paja ambayo sijawahi kusahau hadi leo.
 
Halafu anapenda vijana ashakutwa na scandal ya kukutwa parking lot na bwamdogo in a compromising situation!
Yaani ulijua hadi hili? Kwani Unafuatilia mambo ya KE kwa undani kivipi?
 
Sabina chege ndiye mwanasiasa pekee ambaye hufanya msukumo wa damu kupanda. Halafu mimi napenda black beauty au chocolate ila sio ngozi nyeupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…