Kila nikimuangalia Charity Ngilu huwa ananivutia sana msema kweli mpenzi wa Mungu

Kila nikimuangalia Charity Ngilu huwa ananivutia sana msema kweli mpenzi wa Mungu

Nearest Sun's center in Ukamba
Global Event: Mercury Transit
Local Type: Mercury Transit, in Ukamba
Begins: Mon, 11 Nov 2019, 15:35
Midpoint: Mon, 11 Nov 2019, 18:19
Ends: Mon, 11 Nov 2019, 18:42
Tarehe 11 Nov 2019 Charity Ngilu na wanasiasa wengine amiwemo Kalonzo Njooni Ukamba Mtambike nina imani Uraisi wa Kenya unaenda ukambani dalili zote ziko wazi Nyota zinawaka na kumeremeta.
 
Haha Hawa MPs wa Kenya akina Cheruiyot wanamezea hayo makalio mate.

Cheruiyot unaona katoa jicho matakoni kwa mtoto Sabina si mchezoooo!

Ila Sabina ana shepu moja hatari sana!

Anaekula pale ana bahati sana,he a one lucky bastard!
 
Cheruiyot unaona katoa jicho matakoni kwa mtoto Sabina si mchezoooo!

Ila Sabina ana shepu moja hatari sana!

Anaekula pale ana bahati sana,he a one lucky bastard!
Ninampenda sana binti huyu. Sura 100/100. Halafu pia ana roho safi kwani nimefuatilia mienendo yake kwa ukaribu. Hana uchonganishi na siasa duni kama ya wanasiasa wengine. Huyo ndio my type.
 
Bwana yake aliaga miaka kadhaa zilizopita. Kuna picha lake kwenye gazeti niliona akiwa amekaa chini na sketi kwa bahati mzuri ikaja juu nikaona paja laini nyororo paja ambayo sijawahi kusahau hadi leo.
Mkuu hiyo picha unaweza kunibandikia hapa nitashukuru sana sana
 
Ndugu zangu wana Afrika ya Mashariki amani iwe kwenu

Mimi kwa mara ya kwanza nilimuona kwenye kampeni nikiwa Mombasa kiroho kikanidunda nikawa nafuatilia hotuba zake hata alipokuwa Waziri nilikuwa kila nikiyaangalia yale macho basi nyoka lazima atamani

Mpaka leo hii bado ninacuriwa nae najua lazima atakuwa na Bwana na watoto ila ndio dunia hiyo

Nimejaribu kudate Wakamba kadhaa lakini hakuna aliyemfikia Charity Ngilu

Ningependa angalau siku moja japo hata tusalimiane tu ili niushike mkono wake halafu hata nikifa kesho yake sawa tu.
View attachment 1202753
Hayo ndio macho ya Mahaba hakuna cha kula Kungu wala kupakaa wanja sijui shade ni kitu Natural Mimi hata kama nimezulumiwa Nyumba akinitokea nitapoa kama Barafu.
I love you my Sister.
Hangaika na TL huyo hahitaji mamario
 
Kama dada yako anafanana hivyo basi wewe utakuwa unafanana hivi.
View attachment 1203505
Pole kwa hasira
View attachment 1203509
Yaani Photo copy
Hahaaaa sawa . Ila mungu hakunyimi vyote maana dada yangu sura hana ila akili anazo. Kapata PhD akiwa bado mbichi na anakula mema ya nchi.

Kwa Kenya namuelewa mchungaji mrembo lucy Natasha yaani hapo kanisani ningehudhuria misa zote tena nakaa mbele kabisa
 
Lucy Natasha, kwa hali hii nitahamia Kenya aisee na nitaokoka kabisa
lucy-Natasha.jpeg
 
Naenda kumuambia aachane na Kalonzo safari hii agombanie Uraisi, Muungano wa GEMA utakuwa nyuma yake.

Tupate Raisi wa kwanza Mwanamke katika jumhuri yetu ya Afrika ya Mashariki.
 
William Rutto alambe ya ladha Mchanga akipenda ladha ya mchanga basi ajue kaburi liko wazi.

No bora amuachie Gideon Moi awe Vice Prezidaa
 
Niteue niwe mshenga wako. Ili utakapokuwa unatutambulisha kwake kwa kusema "huyu ni bibi yangu" huku Tanzania kila mtu ajue bila kuuliza zaidi kuwa yeye yu nyanya yako.🤣🤣🤣
Kipenda roho hila Nyama Mbichi...wahenga hawakuacha kitu.
 
The population of Akamba in Uganda is about 8,280, 110,000 in Tanzania
Source:Wikipedia
Hii inaonyesha Wakamba wametoka Shinyanga Region place called Ukamba.
 
Kwa wale wanaomshangaa Mzee Mheshimiwa Raisi Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya Mwai Kibaki tazameni wanaCCM ndani ya Makeup

stephen-wasira.jpg
 
Sabina chege ndiye mwanasiasa pekee ambaye hufanya msukumo wa damu kupanda. Halafu mimi napenda black beauty au chocolate ila sio ngozi nyeupe.
Sabina chege anatembeza Sana papuchi Kwa wavulana wadogo, yani yeye mlango upo wazi Kwa yeyote abishae.
 
CJyGlZfW8AADNHS.jpg

Na huyu nadhani munamjua akijiburudisha na juisi ya Matope iliyochanganywa na Mizizi hulo Loliondo nyumbani kwa Tapeli mmoja maarufu.
CJyGlZfW8AADNHS.jpg
 
Back
Top Bottom