Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa kusema kesho kesho.

Wenzangu mnawezaje?
 
Hujaamua bado ungefika kg 100 na zaidi ungepata akili🤣
 
Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa kusema kesho kesho.

Wenzangu mnawezaje?
Oa utakonda bila kuamua
 
Oa au olewa na mwanamke au mwanaume mwenye kashkash utakonda bila mambo ya diet na mazoezi
 
Daah nina Karibia mwaka September nilianza nina 88kg sasa 75kg Na enjoy mazoezi nilkua na break ya kupumzisha mwili siku 10 kwa sababu nilikua kama nimechoka hasa mazoezi ya kukimbia maana daily uwanja wa mpira 30 rounds baada ya hapo naenda gym na lift weight napiga squats then namalizia na tumbo.
 
Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa kusema kesho kesho. Wenzangu mnawezaje?
 
Pole sana Kwa hiyo changamoto.
Hali hiyo haipo kwako pekee yako bali Kwa watu wengi wale wanaotaka kuanza Kwa mara ya kwanza na akijitahidi kuanza mwendelezo wanakuwa hawana.
Unakosa hamasa tu ila unaweza kuanza Kwa kufanya mambo haya.
1.kama ni mtuamiaji wa mitandao basi anza kutembele page za gym rate au wapenda mazoezi Kwa jumla.
2.Andaa vifaa na nguo zako za mazoezi usiku kabla ya kulala na uviweke sehemu ya wazi ambayo ukiamka tu unaviona.
3.Nunua nguo au vitu vipya vya mazoezi hii itakupa molari zaidi na masukumo mkubwa wa ndani yako.New out fit inasaidia sana Kwa beginer.
4.Tafuta patner/mshkaji anayependa mazoezi ili awe anakupa hamasa ya ku push.
Lakini pia naweza kukusaidia katika safari yako ya mazoezi na lishe ili uweze kupata matokeo unayoyataka.
Nitakuongoza hadi utakapoona sasa unaweza kuendelea mwenyewe.Ni bure kabisa No money
 
Mimi mazoezi sijafanikiwa ila kwa chakula kiasi fulani nimeweza.
Njia niliyotumia ni kuchukulia chakula ni kitu cha kawaida sana ,punguza mhemko kwamba unaumwa njaa sana inahitaji kula la sivyo utakufa.
Kaa karibu na matunda kama ndizi mbivu hii haina mambo mengi sijui kisu cha kukatia pia inapatikana mahali pengi na ni rahisi kuwa nayo popote hata ofisini, kwenye gari nk
 
Mi nimejipa jina “nitaanza kesho
Mtu sahihi wa kuniongoza
Yeah.
Unajua Kuna ile hali ya unatamani kuanza mazoezi ila haujuwi una anza anza vipi,ni mazoezi Gani sahihi ya kuanza nayo kulingana na mahitaji yako,lakini pia Kwa beginer lazima aanze na mazoezi mepesi ili kesho aweze kuendelea.
Hapo kunahitaji mwongozo na motivation
 
Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa kusema kesho kesho.

Wenzangu mnawezaje?
Unataka kujitesa ili usife?
 
Unajua Kuna ile hali ya unatamani kuanza mazoezi ila haujuwi una anza anza vipi,ni mazoezi Gani sahihi ya kuanza nayo kulingana na mahitaji yako,lakini pia Kwa beginer lazima aanze na mazoezi mepesi ili kesho aweze kuendelea.
Hapo kunahitaji mwongozo na motivation
Sahihi
 
Back
Top Bottom