Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Mazoezi anza na walking, anza na 30 minutes. Tembea kwa haraka ila sio sana, usikimbieUnajua Kuna ile hali ya unatamani kuanza mazoezi ila haujuwi una anza anza vipi,ni mazoezi Gani sahihi ya kuanza nayo kulingana na mahitaji yako,lakini pia Kwa beginer lazima aanze na mazoezi mepesi ili kesho aweze kuendelea.
Hapo kunahitaji mwongozo na motivation
Utaongeza speed ya kutembea kadri siku zinavyozidi pamoja na muda wa kutembea. Jitahidi usiwache walau ndani ya miezi 6