Hujaamua bado ungefika kg 100 na zaidi ungepata akili🤣Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa kusema kesho kesho.
Wenzangu mnawezaje?
Oa utakonda bila kuamuaKila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa kusema kesho kesho.
Wenzangu mnawezaje?
Mwanamke aoeOa utakonda bila kuamua
Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa kusema kesho kesho. Wenzangu mnawezaje?
Pole sana.Mi nimejipa jina “nitaanza kesho”
Mtu sahihi wa kuniongozaPole sana.
Hiyo situation naijuwa sana Kwa mtu anayetaka kuanza ila good thing unaweza kushinda hiyo hali.
Kama utapata mtu sahihi wa kukuongoza
Unajua Kuna ile hali ya unatamani kuanza mazoezi ila haujuwi una anza anza vipi,ni mazoezi Gani sahihi ya kuanza nayo kulingana na mahitaji yako,lakini pia Kwa beginer lazima aanze na mazoezi mepesi ili kesho aweze kuendelea.Mi nimejipa jina “nitaanza kesho
Yeah.Mtu sahihi wa kuniongoza
Unataka kujitesa ili usife?Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo, nina kilo nyingi ambazo sizifurahii kabisa ila kila nikipanga na kuanza mazoezi na diet nafanya wiki moja au mbli upepo unakata najikuta tu nasema nitafanya kesho au ngoja nile kawaida leo tu, baada ya hapo ni mwendo wa kusema kesho kesho.
Wenzangu mnawezaje?
SahihiUnajua Kuna ile hali ya unatamani kuanza mazoezi ila haujuwi una anza anza vipi,ni mazoezi Gani sahihi ya kuanza nayo kulingana na mahitaji yako,lakini pia Kwa beginer lazima aanze na mazoezi mepesi ili kesho aweze kuendelea.
Hapo kunahitaji mwongozo na motivation