Kila nikipanga kuanza mazoezi na diet naishia njiani, hii kitu yataka moyo

Mazoezi anza na walking, anza na 30 minutes. Tembea kwa haraka ila sio sana, usikimbie
Utaongeza speed ya kutembea kadri siku zinavyozidi pamoja na muda wa kutembea. Jitahidi usiwache walau ndani ya miezi 6
 
Nje ya mada, nikifanya mazoezi nikiingia period kama bomba zinavyomwagika.. tatizo linaweza kuwa nini?
 
mi kila nikitaka kuanza ni uvivu kuvaa nguo za mazoezi
Pole sana.
Hali hiyo inawakuta watu wengi hasa wale wanaotaka kuanza Kwa mara ya kwanza ila zipo namna ambayo unaweza ukaanza na ukaendelea bila tatizo.
Niweke hapo juu njia za kupita lakini pia naweza kukuongoza na kukusaidia hadi ukapata mafanikio yako
 
Tuko wengi...
 
Kuna kitu kimoja ambacho inabidi uweke akilini kwamba huu ni mchakato ambao matokeo yake utayaona kuanzia baada ya miezi sita au mwaka.

Kinachokatishaga tamaa mara nyingi ni kutaka kujiangalia kila siku kama kuna mabadiliko, usipo yaona molari inakuaga inapungua na ndo taratibu unaacha
 
Its a lifestyle na sio crash programme
Daily tunakula kidogo/tunachagua tunakula nini
Na mazoezi tunachagua yale tunayopenda, so tunaenjoy sio adhabu
Jitafiti unapenda nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…