Kila nikisoma ahadi ya watakoingia peponi huwa naumizwa

Kila nikisoma ahadi ya watakoingia peponi huwa naumizwa

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Kila nikiwaza, huwa nachanganyikiwa.

Kila nikisoma ahadi ya watakoingia peponi huwa naumizwa.
Ni pale ninapofikiria ahadi za baadhi ya pepo.

Zinaahidi wanawake warembo wenye macho kama kikombe.
Swali langu ni moja na rahisi.

Je, wale wasiojiweza kingono, watafanyaje?
Je, hii kitu ni kweli?

Kwanini wahusika walichagua ngono na si pesa?
Siwangechagua lau urabu?

Je, ukweli ni upi?
Nawasilisha.
 
Kwann? Wazungu wanaendelea na kugundua vitu, wengi wanajiweza kiuchumi, na kwenye mambo yao waliyoyachagua kuyafanya wanafaulu sana

Kwa sababu wameachana na mambo yasio wahusu, jitahidi sana mambo yasiyo kuhusu kuachana nayo uone kama haujafika mbali

Dili na mambo yaliyo ndani ya uwezo wako
 
You will live and die before he comes back, despite all the hullabaloo you hear daily about signs of end times.

You've been told this since you were born and it hasn't happened.

It is you who will end, and leave the earth here.
 
Chao kipi ? Hakuna maisha zaidi ya hapa ! Ukifa unaoza, mifupa inabaki ... kwisha !
Tafadhali usije kukimbia

Kwani ww mwanzo si ulikua mkojo tu tena unaonuka mbona saivi unajitia kiburi cha ujuaji sanaaa

Jibu swali hili
Mbona duniani kuna mahkama ili ziweke usawa kwa matatizo ya watu? Kwanini kusiwe na mahkama mbinguni kwa kuwapa watu haki zao pia?
 
Basi sawa .... utaenda mbinguni, kuna makao ! Si ndio ?
 
Mpaka hpa kubali kua umeshashindwa
Sijashindwa.... Ni vile tu huwa nakwepa sana mikinzano/mitazamo ya kidini!
Naheshimu sana imani za watu .....
Mtu amekaririshwa tangia mdogo, now ukubwani una cha kumuelewesha ? Atakuelewa ?

#tuishi
 
Sijashindwa.... Ni vile tu huwa nakwepa sana mikinzano/mitazamo ya kidini!
Naheshimu sana imani za watu .....
Mtu amekaririshwa tangia mdogo, now ukubwani una cha kumuelewesha ? Atakuelewa ?

#tuishi
Mimi hpa sijaleta udini hata kidogo

Mtu anabadilishwa vzr tu ata alishwe nini toka mdogo
 
Back
Top Bottom