The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Nafikiri hivyo pia. Hakuna cha kufufuka dadekiBabu.
Ukifa unazikwa biashara imeisha !
Haya mambo sujui nn, dah! Acha nisiongee sana
Kwaio waliodhulumiwa hapa duniani ndo hawana chao tena?Babu.
Ukifa unazikwa biashara imeisha !
Haya mambo sujui nn, dah! Acha nisiongee sana
Dah tumekukosea wapi🥹Zinaahidi wanawake warembo wenye macho kama kikombe.
Swali langu ni moja na rahisi.
Mwafrica mpumbavu mpekee, ndio anayeamini hilo.Ni mwafrica pekee anayeamin kuna sehem ingne zuri zaid ya hapa dunian...
Chao kipi ? Hakuna maisha zaidi ya hapa ! Ukifa unaoza, mifupa inabaki ... kwisha !Kwaio waliodhulumiwa hapa duniani ndo hawana chao tena?
Tafadhali usije kukimbiaChao kipi ? Hakuna maisha zaidi ya hapa ! Ukifa unaoza, mifupa inabaki ... kwisha !
Basi sawa .... utaenda mbinguni, kuna makao ! Si ndio ?Tafadhali usije kukimbia
Kwani ww mwanzo si ulikua mkojo tu tena unaonuka mbona saivi unajitia kiburi cha ujuaji sanaaa
Jibu swali hili
Mbona duniani kuna mahkama ili ziweke usawa kwa matatizo ya watu? Kwanini kusiwe na mahkama mbinguni kwa kuwapa watu haki zao pia?
Mpaka hpa kubali kua umeshashindwaBasi sawa .... utaenda mbinguni, kuna makao ! Si ndio ?
Sijashindwa.... Ni vile tu huwa nakwepa sana mikinzano/mitazamo ya kidini!Mpaka hpa kubali kua umeshashindwa
Mimi hpa sijaleta udini hata kidogoSijashindwa.... Ni vile tu huwa nakwepa sana mikinzano/mitazamo ya kidini!
Naheshimu sana imani za watu .....
Mtu amekaririshwa tangia mdogo, now ukubwani una cha kumuelewesha ? Atakuelewa ?
#tuishi