Kila nikiwatazama baadhi ya Wachezaji wa Yanga SC, naamini kweli mpira ni connection hata kama kiwango kimeisha

Kila nikiwatazama baadhi ya Wachezaji wa Yanga SC, naamini kweli mpira ni connection hata kama kiwango kimeisha

Chama anaitwa national team kwao na anacheza, unasemaje kaisha?
Sasa Zambia ina wachezaji gani wa maana wanaocheza Ulaya, wanawaita wachezaji kama kina Chama sababu hakuna wengine hivyo hawana namna, ndio maana hata timu yenyewe haifiki mbali wako kama sisi tu
 
Sijaona mechi ambayo Mkude kapangwa akacheza chini ya kiwango. Zile mechi na Memelody Aucho akiwa majeruhi Mkude alipiga mpira mkubwa sana.Yanga imesajili wachezaji wenye viwango karibia vinalingana, chaguo la mwalimu ndio hoja iko hapo. Hata akina Kibwana wakipewa number hukiwasha vizuri tu.
Mkude ni kiungo mkabaji mzuri sana. Kama unavyosema kwamba hakuna game anayocheza chini ya kiwango, ni sahihi. Tuna mu-underate kwa sababu tumemzoea
 
Sasa Zambia ina wachezaji gani wa maana wanaocheza Ulaya, wanawaita wachezaji kama kina Chama sababu hakuna wengine hivyo hawana namna, ndio maana hata timu yenyewe haifiki mbali wako kama sisi tu
Tena Zambia juzi tu kabondwa na stars hukohuko Zambia
 
Back
Top Bottom