Kila nikiweka kibubu cha kununua gari kinaporomoka

Kila nikiweka kibubu cha kununua gari kinaporomoka

Mkuu nakushauri utemane na wazo la kumiliki Gari kwa sasa hivi. Hata ukifikisha iyo m10 ukanunua bado itakuwia vigumu kwako kwenye uendeshaji.

Jipange kwanza vizuri. Ila ushauri wangu siyo lazima uufwate huko huru kuamua upendavyo.
Na wewe achana na bibi wa kizungu, utakuja nishukuru baadae
 
Sijawai kumiliki gari, nataman sana kumiliki ila kila nikijitahidi sifikii lengo.

Nataka ninunue hata used ya 10M. Niliweka kibubu kikafika 2.5M ila ni mwezi wa nne huu kimebakia 1.2M.

Nifanyeje na mimi nimiliki gari? Sitaki kukopa.
Njoo nikuwekee bloangu,kwa mwaka mmoja riba yangu laki6
 
Sijawai kumiliki gari, nataman sana kumiliki ila kila nikijitahidi sifikii lengo.

Nataka ninunue hata used ya 10M. Niliweka kibubu kikafika 2.5M ila ni mwezi wa nne huu kimebakia 1.2M.

Nifanyeje na mimi nimiliki gari? Sitaki kukopa.
na mimi nasubiri ushauri maana tumeshakubaliana huu mwaka ndo mwaka wa kutoboa jamani..
 
Bet hio 1.2 ,weka odds 9.5 jumla.

Utanishukuru baadae
Sijui ni lini itaingia kwenye akili yako na wengine kwamba betting siyo reliable source of income???? Hivi ukiambiwa uweke sources zako za uhakika za kipato utaweka betting??
 
Liko vizuri linaonekana la mootooo 🔥🔥🔥🔥 maaaaaaamaaeeeee kwa sauti ya Maghayo 😄
Haya mabibi nayapendeaga kitu kimoja tu. Ukiyafikisha kileleni yanaliaga kwa sauti kubwa na kuvibrate violently. Hapo ndo unaona utukufu wa uumbaji.
 
Mkuu nakushauri utemane na wazo la kumiliki Gari kwa sasa hivi. Hata ukifikisha iyo m10 ukanunua bado itakuwia vigumu kwako kwenye uendeshaji.

Jipange kwanza vizuri. Ila ushauri wangu siyo lazima uufwate huko huru kuamua upendavyo.
Aarishe na aanze na pikipiki, then bajaj then Gari..
 
Haya mabibi nayapendeaga kitu kimoja tu. Ukiyafikisha kileleni yanaliaga kwa sauti kubwa na kuvibrate violently. Hapo ndo unaona utukufu wa uumbaji.
Alafu linaonekana ni la east europe hiloo 🔥🔥
 
Kwa nini pesa unazotunza kwa lengo la kununua gari usizipeleke kwa makampuni yanayouza magari moja kwa moja? ...Kumbuka tu kuwa gari ni mali inayotafuna pesa itakufirisi kwenye matunzo yake. 🤔
 
YANI ULIFIKISHA MILLION 2.5 HIYO SI INATOSHA KUNUNUA TOYOTA STARLET YENYE ENGINE YA 4E CC 1330 AU UNATAKA GARI GANI?

HAUPO SILIASI KABISA HIYO HELA INGETOSHA KABISA KUNUNUA STARLET YA 2.5 AU MBILI KABISA TENA GARI INAKUWA NZIMA KABISA

AU UNATAKA MADUNGU YA CHRIS LUKOSI ILI UWE UNAWAOSHEA!?
 
Back
Top Bottom