Kila nikiweka kibubu cha kununua gari kinaporomoka

Kila nikiweka kibubu cha kununua gari kinaporomoka

Sasa mtoa mada mwenyewee anafika 2,5m kwa mwkaa [emoji23][emoji23][emoji23] atanunua gari kweli
Tumpe moyo jamani...akiweka anaweza...kumbe ni kwa mwaka sijasoma vzr nilijua kwa mwezi...
 
Sijui ni lini itaingia kwenye akili yako na wengine kwamba betting siyo reliable source of income???? Hivi ukiambiwa uweke sources zako za uhakika za kipato utaweka betting??
Usipende kila kitu kuchukulia serious mkuu, just a lil joke
 
Back
Top Bottom