Kila nikiweka kibubu cha kununua gari kinaporomoka

Nimempa ofa mtoa mada..kama anataka atanifata inbox..sio wewe jirani yangu wa kijiji cha nyuki...
Sasa mtoa mada mwenyewee anafika 2,5m kwa mwkaa [emoji23][emoji23][emoji23] atanunua gari kweli
 
Sasa mtoa mada mwenyewee anafika 2,5m kwa mwkaa [emoji23][emoji23][emoji23] atanunua gari kweli
Tumpe moyo jamani...akiweka anaweza...kumbe ni kwa mwaka sijasoma vzr nilijua kwa mwezi...
 
Sijui ni lini itaingia kwenye akili yako na wengine kwamba betting siyo reliable source of income???? Hivi ukiambiwa uweke sources zako za uhakika za kipato utaweka betting??
Usipende kila kitu kuchukulia serious mkuu, just a lil joke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…