Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kweli kabisa ila taratibu, angalia wasikuumize kisa kupenda legacy ya JPM!Nikitembea kwenye barabara za lami ambazo alizisimamia kwa zaidi ya miaka 20 na kurahisisha usafiri hapa nchini naona hayati alilitendea jema taifa letu...
Hongera ndugu kwa kula mema ya nchi.Wale wenye dhana ya utesaji, naomba mtupie na mifano kutoka kwa nchi nyingine kama china au Libya hapo kabla hawajaanza kula mema ya nchi!.
Nikitembea kwenye barabara za lami ambazo alizisimamia kwa zaidi ya miaka 20 na kurahisisha usafiri hapa nchini naona hayati alilitendea jema taifa letu...
Hayo yote cha Mtoto, Kwa Jambo moja tu anatosha kukumbukwa, UJENZI WA DODOMA na kuifanya Dododma Makao makuu.Nikitembea kwenye barabara za lami ambazo alizisimamia kwa zaidi ya miaka 20 na kurahisisha usafiri hapa nchini naona hayati alilitendea jema taifa letu.
Vipi kuhusu Mfugale Flyover na Kijazi interchange!
Leo hii Kibaha mpaka Mbezi foleni ni story iliyosahaulika.
Stand ya kisasa ya ya Magufuli bus terminal, Dodoma na miji mingine ni mifano ya kumkumbuka.
Nikiongelea manunuzi ya ndege watu wataponda,lakini alithubutu kununua cash.
Jambo kubwa ni kudiversify maendeleo, hili hatasahaulika maana kila kona ya Tanzania ilipata maendeleo.
Amepambana sana kwenye miundombimu tangu akiwa waziri.Nikitembea kwenye barabara za lami ambazo alizisimamia kwa zaidi ya miaka 20 na kurahisisha usafiri hapa nchini naona hayati alilitendea jema taifa letu.