Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asa kwa wewe unavodhani hao watu hawakustahili kuwa navyo? kuna watu nao walibeza miaka ile dar es salaam inavojengwa kama wewe, kila mkoa kuna CRDB, VETA, HOTELS etc hiyo chato isikufanye ushindwe kufikiri sawasawaSi rahisi kuifuta legacy ya Dr Magufuli.
1.Hospital ya Rufaa Chato
2. International Airport Chato
3. 3 Star Hotel TANAPA Chato
4. VETA Chuo cha kanda Chato
5. National Park Chato
6. CRDB Chato
7. Trafic light Chato
8. TANESCO building Chato
9. Mahakama building Chato
10. Zimamoto building Chato
11. NHC Chato
12. Ndege Tausi Chato
13. Mkoa Chato Proposed
14. DC Office
15. DED Office
16. ............
Kweli Legacy ipo juu sana,lakini kwa watu wajinga kama wewe muanzisha uzi.
Heb acha ujinga, Kwaio Jengo la CRDB alijenga yeye?Si rahisi kuifuta legacy ya Dr Magufuli.
1.Hospital ya Rufaa Chato
2. International Airport Chato
3. 3 Star Hotel TANAPA Chato
4. VETA Chuo cha kanda Chato
5. National Park Chato
6. CRDB Chato
7. Trafic light Chato
8. TANESCO building Chato
9. Mahakama building Chato
10. Zimamoto building Chato
11. NHC Chato
12. Ndege Tausi Chato
13. Mkoa Chato Proposed
14. DC Office
15. DED Office
16. ............
Kweli Legacy ipo juu sana,lakini kwa watu wajinga kama wewe muanzisha uzi.
hayo uliyo yaorodheshwa hapo ukifuatilia story ya hitler utagundua yalifanywa maradufu kwenye utawala wake but those thing couldn't change the factSi rahisi kuifuta legacy ya Dr Magufuli.
1.Hospital ya Rufaa Chato
2. International Airport Chato
3. 3 Star Hotel TANAPA Chato
4. VETA Chuo cha kanda Chato
5. National Park Chato
6. CRDB Chato
7. Trafic light Chato
8. TANESCO building Chato
9. Mahakama building Chato
10. Zimamoto building Chato
11. NHC Chato
12. Ndege Tausi Chato
13. Mkoa Chato Proposed
14. DC Office
15. DED Office
16. ............
Kweli Legacy ipo juu sana,lakini kwa watu wajinga kama wewe muanzisha uzi.
Kumbe na wewe ni mjinga kama wajinga wengine kenge kasoro mkia.Si rahisi kuifuta legacy ya Dr Magufuli.
1.Hospital ya Rufaa Chato
2. International Airport Chato
3. 3 Star Hotel TANAPA Chato
4. VETA Chuo cha kanda Chato
5. National Park Chato
6. CRDB Chato
7. Trafic light Chato
8. TANESCO building Chato
9. Mahakama building Chato
10. Zimamoto building Chato
11. NHC Chato
12. Ndege Tausi Chato
13. Mkoa Chato Proposed
14. DC Office
15. DED Office
16. ............
Kweli Legacy ipo juu sana,lakini kwa watu wajinga kama wewe muanzisha uzi.
Wambie hueda wakaelewaKwan covid saiv mmechukua hatua gani au ndo chuk tu
Kumbe na wewe ni mjinga kama wajinga wengine kenge kasoro mkia.
I concur with none of politician, but we can't go back to Magufuli because he's the worst ever..Uyo chifu hangaya anavoogopa wazungu nyinyi ndo mnapenda Ila hakuna cha maana anachofanya
Watakaotibiwa ni watu wa Chato, VETA watasoma watu wa Chato tuu, Hotel watakaa watu wa Chato tuu, vifaa vya ujenzi vimenunuliwa Chato, cement imetengenezwa Chato, wafanyakazi wote wa hospital ya rufaa watakua watu wa Chato tuu
To conclude ajira zitokanazo na hii miradi zitatolewa kwa watu wa Chato tuu, halafu Hawa watu wa Chato sio watanzania hawastahili kabisa kupelekewa miradi yote hii
Legacy gani kwa mfano?
Yeye ndiye aliyejenga Moi? Yeye ndiye aliyejenga Mloganzila? Yeye ndiye aliyejenga Hospital ya Moyo? Mataga halisi nyieUsiwasahau na wale akina mama waliokuwa wamejazana chini wodi za Mhimbili na kwingine...Usisahau adha za watoto kufa kwa malaria kwakuakosa matibabu, pia usisahau watu walionyang'anywa ardhi zao kwa jina zuri la wawekezaji na mengine mengi...
Simply waafrika mmezoea maisha ya kitumwaUpo sahihi mkuu.
Nawaonea huruma sana hawa wasanii waliopo maana ni aibu kuwaita viongozi.
JPM ameset level ambayo sioni wa kuifikia na uzuri wananchi wameonja utamu wa kuwa na mwamba kama JPM...
Watapata tabu sana...wamebaki kukosoa huku wanapuyanga tu.
Kwahiyo wale akina mama waliokuwa wanslala chini alienda kuwaweka apige nao picha enzi hizo anazunguka Mhimbili?Yeye ndiye aliyejenga Moi? Yeye ndiye aliyejenga Mloganzila? Yeye ndiye aliyejenga Hospital ya Moyo? Mataga halisi nyie
Ngongo!Maiti kuelea na watu wasiojulikana labda ndio legacy.
Una maana hata yule jamaa anayeshikishwa ukuta kule mamtoni naye ana legacy?Hata shetani ana legacy
Hivi ile 1.5T iliyompotezea Prof. Musa Assad na yenyewe ilijenga mradi upi?Nikitembea kwenye barabara za lami ambazo alizisimamia kwa zaidi ya miaka 20 na kurahisisha usafiri hapa nchini naona hayati alilitendea jema taifa letu.
Vipi kuhusu Mfugale Flyover na Kijazi interchange!
Leo hii Kibaha mpaka Mbezi foleni ni story iliyosahaulika.
Stand ya kisasa ya ya Magufuli bus terminal, Dodoma na miji mingine ni mifano ya kumkumbuka.
Nikiongelea manunuzi ya ndege watu wataponda,lakini alithubutu kununua cash.
Jambo kubwa ni kudiversify maendeleo, hili hatasahaulika maana kila kona ya Tanzania ilipata maendeleo.
Kwanini hao kina mama hawakuenda kulala chini viwanja vya jangwani au biafra wameenda kulala Muhimbili? Na kwanini hivyo vitanda visingepelekwa viwanja vya mnazi mmoja au sabasaba? Je aliyepeleka vitanda vya milioni na aliyejenga jengo la mabilioni nani kafanya jambo kubwa?Kwahiyo wale akina mama waliokuwa wanslala chini alienda kuwaweka apige nao picha enzi hizo anazunguka Mhimbili?
Legacy gani! Ya kuacha miji michafu hadi Rais Samia anakuja kuondoa uchafu uliokuwa uametapakaa kila mahali.Nikitembea kwenye barabara za lami ambazo alizisimamia kwa zaidi ya miaka 20 na kurahisisha usafiri hapa nchini naona hayati alilitendea jema taifa letu.
Vipi kuhusu Mfugale Flyover na Kijazi interchange!
Leo hii Kibaha mpaka Mbezi foleni ni story iliyosahaulika.
Stand ya kisasa ya ya Magufuli bus terminal, Dodoma na miji mingine ni mifano ya kumkumbuka.
Nikiongelea manunuzi ya ndege watu wataponda,lakini alithubutu kununua cash.
Jambo kubwa ni kudiversify maendeleo, hili hatasahaulika maana kila kona ya Tanzania ilipata maendeleo.