Maisha kwa ujumla yalikuwaje? Uhuru wao, Udugu wao, n.k. Mapema sana kusahau watu walivyopotea pasi na taarifa, uporaji, tribalism, masimango (kutokua na adabu), bomu la ajira alilotengeneza, kutozingatia sera za kiuchumi kujikita kwenye miundombinu tu ambayo ni kuanzia Dar to Chato and not other regions, Usisahau watumishi wa umma ambao wanaishi kwa pesa ile ile ya awamu ya nne, wakulima mf wa korosho wapo ambao hawajalipwa mpaka leo, maradhi basically failed to take measures on serious issue like COVID-19, machinga wanaonekana wanaonewa because of his impurity, shughuli za kisiasa zimedhorota because of his legacy, kila kitu, every angle... Mwache apumzike. We have more than decades of healing his destruction..