Kila nikizunguka Tanzania naiona legacy ya hayati Magufuli ambayo haitafutika kirahisi

Nikimkumbuka Ben Saanane,Azory Gwanda na watu wa Kimara- Kibaha wanaolala nje hadi Sasa naiona legacy ya Magufuli.
Usiwasahau na wale akina mama waliokuwa wamejazana chini wodi za Mhimbili na kwingine...Usisahau adha za watoto kufa kwa malaria kwakuakosa matibabu, pia usisahau watu walionyang'anywa ardhi zao kwa jina zuri la wawekezaji na mengine mengi...
 
Kwan covid saiv mmechukua hatua gani au ndo chuk tu
 
Kwa wastan kila Mtanzania anadaiwa milioni na laki tatu!?kutokana na jiwe kukopa,hapa hata mtoto aliyezaliwa jana anadaiwa!!!
 
Kwan covid saiv mmechukua hatua gani au ndo chuk tu
Magufuli alijichukiza mwenyewe, unapomuongelea usiweke vibanzi usoni. Baaadae wajukuu zako wakijua kama ulikuwa kwenye regime yake hawatokutofautisha na wafuasi wa Kinjekitile

Sent from my HUAWEI VNS-L31 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli alijichukiza mwenyewe, unapomuongelea usiweke vibanzi usoni. Baaadae wajukuu zako wakijua kama ulikuwa kwenye regime yake hawatokutofautisha na wafuasi wa Kinjekitile

Sent from my HUAWEI VNS-L31 using JamiiForums mobile app
Uyo chifu hangaya anavoogopa wazungu nyinyi ndo mnapenda Ila hakuna cha maana anachofanya
 
Mimi wananiuzi hawa wanafiki waliojaa uzandiki wanaiwaza chato kupelekewa maendeleo wanaumia kwani chato sio Tanzania? Haistahili kupata maendeleo hii ni fitina na uzandiki
 
Hayo yote cha Mtoto, Kwa Jambo moja tu anatosha kukumbukwa, UJENZI WA DODOMA na kuifanya Dododma Makao makuu.
Bila kusahau elimu bure, reli ya SGR, umeme wa rufiji na amewawekea arusha mradi mkubwa wa maji, reli ya Kilimanjaro, hospital ya mwl Nyerere kama huoni mambo aliyoyafanya Magufuli utakuwa mnafiki na mzandiki
 
Vipi kuhusu umeme huko vijijini, vituo vya afya na zahanati, masoko na stendi za kisasa.
 
Kwa UHARAMIA WA NSSF haita futika
 
Bila kusahau zile maiti zilizokuwa zikiokotwa kwenye fukwe za bahari,kutekwa watu,kubambikia watu kesi za uhujumu uchumi,kujaza ndugu na jamaa kwenye nafasi za uongozi bila kufuata utaratibu,kauli za kashfa na matusi kwa wananchi kama ile "mama unataka upanuliwe wapi" na "baki na mavi yako"
 
Umekuja juzi mjin lazima ushangae
Ungekuwepo Mwinyi alipojenga kariakoo s ungeshangaa
 
Upo sahihi mkuu.
Nawaonea huruma sana hawa wasanii waliopo maana ni aibu kuwaita viongozi.
JPM ameset level ambayo sioni wa kuifikia na uzuri wananchi wameonja utamu wa kuwa na mwamba kama JPM...
Watapata tabu sana...wamebaki kukosoa huku wanapuyanga tu.
 
Wewe utakuwa ulitumbuliwa vyeti feki au upo chama cha manyumbuzi
 
Nyumbu hawawezi kukuelewa
 
Magufuli Bridge-Kigongo ferry
Stands za mabasi Dododma, Mwanza Rukwa, Iringa etc etc
Chato airport
 
Hayo yote cha Mtoto, Kwa Jambo moja tu anatosha kukumbukwa, UJENZI WA DODOMA na kuifanya Dododma Makao makuu.
Hii ni kumbukizi kubwa sana, Hasa kuweka ikulu yenye ukubwa wa hekta 23 ikiwa na wanyama wanaopatikana kwenye mbuga zetu, ikulu kubwa zaidi Duniani ipo Dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…