Kila nikizunguka Tanzania naiona legacy ya hayati Magufuli ambayo haitafutika kirahisi

JPM alikuwa Rais alietokana na Wanyonge kweli kweli

Amefia kauli yake ya kutetea wanyonge
 
... Alikuwa Rais wa miundombinu, hilo halina ubishi, lakini je nchi ni miundombinu tuu? Tunaweza kuishi kwa asali tuu kama nyuki? (by BKM, 2021 gazeti la Jamhuri)
 
Asa kwa wewe unavodhani hao watu hawakustahili kuwa navyo? kuna watu nao walibeza miaka ile dar es salaam inavojengwa kama wewe, kila mkoa kuna CRDB, VETA, HOTELS etc hiyo chato isikufanye ushindwe kufikiri sawasawa
 
Heb acha ujinga, Kwaio Jengo la CRDB alijenga yeye?
 
hayo uliyo yaorodheshwa hapo ukifuatilia story ya hitler utagundua yalifanywa maradufu kwenye utawala wake but those thing couldn't change the fact
 
Kumbe na wewe ni mjinga kama wajinga wengine kenge kasoro mkia.
 

Mjinga ni mjinga tu,yaani vitu vyote vipelekwe sehemu moja ya nchi.Hizi Div 5 zimetuletea majanga kweli kweli.

Mwl Nyerere aliitazama Tanzania ndio maana ukabila na ukanda haukupewa nafasi.Jiulize kama Magufuli asingekuwa Rais miradi yote ingerundikwa wilaya moja ?.Nimeamini ujinga mzigo.
 
Usiwasahau na wale akina mama waliokuwa wamejazana chini wodi za Mhimbili na kwingine...Usisahau adha za watoto kufa kwa malaria kwakuakosa matibabu, pia usisahau watu walionyang'anywa ardhi zao kwa jina zuri la wawekezaji na mengine mengi...
Yeye ndiye aliyejenga Moi? Yeye ndiye aliyejenga Mloganzila? Yeye ndiye aliyejenga Hospital ya Moyo? Mataga halisi nyie
 
Simply waafrika mmezoea maisha ya kitumwa
 
Yeye ndiye aliyejenga Moi? Yeye ndiye aliyejenga Mloganzila? Yeye ndiye aliyejenga Hospital ya Moyo? Mataga halisi nyie
Kwahiyo wale akina mama waliokuwa wanslala chini alienda kuwaweka apige nao picha enzi hizo anazunguka Mhimbili?
 
Hivi ile 1.5T iliyompotezea Prof. Musa Assad na yenyewe ilijenga mradi upi?
 
Kwahiyo wale akina mama waliokuwa wanslala chini alienda kuwaweka apige nao picha enzi hizo anazunguka Mhimbili?
Kwanini hao kina mama hawakuenda kulala chini viwanja vya jangwani au biafra wameenda kulala Muhimbili? Na kwanini hivyo vitanda visingepelekwa viwanja vya mnazi mmoja au sabasaba? Je aliyepeleka vitanda vya milioni na aliyejenga jengo la mabilioni nani kafanya jambo kubwa?

Hii ni mifano inayoainisha kwamba uongozi ni mwendelezo, hatua yoyote ya muendelezo inayofanywa na mwingine si ya kusifiwa kuliko mwingine. Kila mmoja namefanya kea hatua yake kadri ya uwezo ulivyoruhusu na changamoto za wakati huo.

Ni Watanzania tu ndio Wana akili za panzi kwa kiwango cha kutosha. Vipi ukamuone wa maana kuliko wote aliyejenga kilomita 20 za lami yombo au buza halafu umuone si wa maana aliyejenga barabara kutoka mwanza hadi Dar? Maisha ni kuendeleza kea njia bora zaidi pale palipoanzwa na aliyetangulia.
 
Legacy gani! Ya kuacha miji michafu hadi Rais Samia anakuja kuondoa uchafu uliokuwa uametapakaa kila mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…