Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho

mi nahisi utakuwa unatembea kama sharo milionea na maplaster usoni kama nelly ndio maana watu wanakushangaa
Yangekuwa hayo ningekausha coz ningejua sababu ni ipi.Nakuwa kawaida sana.
 
Wanaokushangaa ni me au ke, kama ke ujue wewe ni handsome na kama me ujue una mwonekano wa kimawindo hivo wanaogopa usije ukawadokolea wake zao, pia jichunguze tabia zako pengine sio nzuri
 
Eleza mkuu wanakuangalieje coz km ni kukuangalia wote huwa tunaangaliwa, pia km wanakuangalia kwa kukushangaa may be ww ubaweza ukawa ni mweusi sana, mweupe sana, mfupi sana, mnene sana, mwembamba sana, au pengine ni mchafu au upo rough sana, mtanashat sana, una sura nzur au umbile zur sana, au yawekana sura mbaya sana...... mambo meng yawezekana yakachangia uangaliwe sana na watu.

Pengine ni mambo ya nyota ingawa mm siyaamin sana
 
Utakuwa umekula bange kwa mara ya kwanza sasa ukimuangalia mtu au watu unaona wanakuangalia ,kumbe wenge.

NB. hii ni kwa experence niliyoipata baada ya kuwawasha 'magari' madogo kadhaa kwa mara ya kwanza.
 
KE wananipiga chabo sana hasa kwa kujiiba iba.Me wananiangalia kama wananifananisha.......Nina tabia nzuri na nidhamu ya kuridhisha hapa mtaani.
 
Utakuwa umekula bange kwa mara ya kwanza sasa ukimuangalia mtu au watu unaona wanakuangalia ,kumbe wenge.

NB. hii ni kwa experence niliyoipata baada ya kuwawasha 'magari' madogo kadhaa kwa mara ya kwanza.
Hapana umekosea.
 
Eleza mkuu wanakuangalieje coz km ni kukuangalia wote huwa tunaangaliwa, pia km wanakuangalia kwa kukushangaa may be ww ubaweza ukawa ni mweusi sana, mweupe sana, mfupi sana, mnene sana, mwembamba sana, au pengine ni mchafu au upo rough sana, mtanashat sana, una sura nzur au umbile zur sana, au yawekana sura mbaya sana...... mambo meng yawezekana yakachangia uangaliwe sana na watu.

Pengine ni mambo ya nyota ingawa mm siyaamin sana
mkuu rejea thread amesema hadi watoto na wazee pia huwa wanamkodolea mijicho, sasa sijajua huyu jombaa ana nn aisee
 
Back
Top Bottom