Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

Nin kimekusaidia kupungua?
Mi pia kuna dawa naletewa soon ukinywa hausikiii njaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unene sio mkuu
Kula mara moja kwa siku tena ule diet tu, mbogamboga matunda maji na kupunguza vyakula vya wanga......dawa ni chemecal lazima zinakua na side effect kwa badaye sikuzipenda.
 
Kula mara moja kwa siku tena ule diet tu, mbogamboga matunda maji na kupunguza vyakula vya wanga......dawa ni chemecal lazima zinakua na side effect kwa badaye sikuzipenda.
Ahaaa hongera
 
endelea na hilo zoezi kwa siku 90 utapunguza tu inaonekana ulikuwa na akiba ya kutosha ya glucose na lipids mwilini, usisahau kunywa maji ya moto lita moja asubuhi kabla ya kupiga mswaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…