Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Unene sio chakula unene ni wewe ulivyojiweka lifestyle yakoHapana nilikua na kula nusu sahani, tena mara moja kwa siku ucku tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unene sio chakula unene ni wewe ulivyojiweka lifestyle yakoHapana nilikua na kula nusu sahani, tena mara moja kwa siku ucku tu.
How old are you mkuu? Kwasbb hayo ni matokeo mazuri sanaa1. Acha kunywa chai asubuhi
2.Mchana Kula wali au ugali na majibya kutosha
3. Usiku kula matunda kabla ya saa 2 au usile kabisa
Mimi nimetoka 84.5kg sasa nina 67.7kg Almost kwa miezi 6
Hahaha unajua kuamini sanaa sprits ni aina ya uchawi pia.Kilo gani hizo jamaa kuna makorokoro utakuwa umebebeshwa na wachawi,wahi kwa mwamposa hujachelewa
Tafuna tangawizi mbichi kadri uwezavyoKilo nimepunguza kutoka 90 hadi 80 ila kitambi kimegoma kabisa kutoka
Tangawizi mbichi zikizidi zina madhara pia kiafyaTafuna tangawizi mbichi kadri uwezavyo
Haha ni utani tu,don't take it in.Hahaha unajua kuamini sanaa sprits ni aina ya uchawi pia.
😅😅😅 Sawa Miss. Ngoja niende selfika nikavizie picha yakoUnene ni mbaya, bora sisi miss
😂ukiipata nitumie😅😅😅 Sawa Miss. Ngoja niende selfika nikavizie picha yako
Nishaipata, niitume hapa? 😅😂ukiipata nitumie
Hebu mwambie mkeo akutengenezee juice za detox kwanza unywe hata week usafishe tumbo lako ndio uanze hiyo diet uache kabisa sukari na wanga na iwe ndio life style yako na utembeee pia ,halaf funga jion unakula kidogo lazima upungue,halaf acha pombe kabisa zinanenepeshaMzee kitambi ndo tatizo kubwa, mimi na balance naongezeka kila sehemu propotionaly, mambo mengine ni kumuachia Mungu
Yesssss nilisahau hili ni muhimu sanaaPhysical
Mentally
Spiritually
Sasa wewe ume deal na physical hizi nyingine nani akusaidie
Sasa jitese mkuuMkuu natamani kufanya kazi za nguvu ili nipungue ila nguvu ndo sina na choka haraka, sijawahi kufanya kazi za nguvu tangu nizaliwe ila na zipenda, ila kuisha vyombo na kupiga deki na weza ila kulima kubeba vitu vizito siwezi, kuna siku niliamua kutegenza njia gari lipite mgongo umeniuma wiki moja.
kaweke puto mloganzilaHahaha unajua kuamini sanaa sprits ni aina ya uchawi pia.
Mbona mkuu nimesha pungua kwa 15% kwa sasa niko poa kiasi mkuu hamna haja ya kuweka puto.Sasa jitese mkuu
kaweke puto mloganzila
Uliwezaje?? Uligundua sababu gani inakufanya unenepeMbona mkuu nimesha pungua kwa 15% kwa sasa niko poa kiasi mkuu hamna haja ya kuweka puto.
Soft life, mkuu kwa kula milo mitatu over resting maisha yangu yalikua hayana changamoto yoyote.Uliwezaje?? Uligundua sababu gani inakufanya unenepe
Nin kimekusaidia kupungua?Soft life, mkuu kwa kula milo mitatu over resting maisha yangu yalikua hayana changamoto yoyote.