Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

Kilo gani hizo jamaa kuna makorokoro utakuwa umebebeshwa na wachawi,wahi kwa mwamposa hujachelewa
 
1. Acha kunywa chai asubuhi
2.Mchana Kula wali au ugali na majibya kutosha
3. Usiku kula matunda kabla ya saa 2 au usile kabisa
Mimi nimetoka 84.5kg sasa nina 67.7kg Almost kwa miezi 6
 
1. Acha kunywa chai asubuhi
2.Mchana Kula wali au ugali na majibya kutosha
3. Usiku kula matunda kabla ya saa 2 au usile kabisa
Mimi nimetoka 84.5kg sasa nina 67.7kg Almost kwa miezi 6
How old are you mkuu? Kwasbb hayo ni matokeo mazuri sanaa
 
Mzee kitambi ndo tatizo kubwa, mimi na balance naongezeka kila sehemu propotionaly, mambo mengine ni kumuachia Mungu
Hebu mwambie mkeo akutengenezee juice za detox kwanza unywe hata week usafishe tumbo lako ndio uanze hiyo diet uache kabisa sukari na wanga na iwe ndio life style yako na utembeee pia ,halaf funga jion unakula kidogo lazima upungue,halaf acha pombe kabisa zinanenepesha
Mi napungua sasa toka Ramadhan ianze nimepungua kilo 4 na naendelea hivi hivi nishajua vitu gani vinaninenepesha
 
Mkuu natamani kufanya kazi za nguvu ili nipungue ila nguvu ndo sina na choka haraka, sijawahi kufanya kazi za nguvu tangu nizaliwe ila na zipenda, ila kuisha vyombo na kupiga deki na weza ila kulima kubeba vitu vizito siwezi, kuna siku niliamua kutegenza njia gari lipite mgongo umeniuma wiki moja.
Sasa jitese mkuu
Hahaha unajua kuamini sanaa sprits ni aina ya uchawi pia.
kaweke puto mloganzila
 
Soft life, mkuu kwa kula milo mitatu over resting maisha yangu yalikua hayana changamoto yoyote.
Nin kimekusaidia kupungua?
Mi pia kuna dawa naletewa soon ukinywa hausikiii njaa 😂😂😂😂 unene sio mkuu
 
Back
Top Bottom