Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

Kwa studies zilizopo kwa sasa zina sema breakfast sio mlo muhimu , hivyo una weza mua kuanza kula saa sita au saa tano, baada ya hapo kule tena baada ya masaa nane, kama utataka fanya intermittent fasting , kula mara mbili ni bora zaidi.
Nikiendaga home huwa napata shida sana kwasababu mama huwa anazingatia milo mitatu. Breakfast, lunch & super. Halafu kama unavyojua mtoto kwa mama hakui kwahiyo lazima ahakikishe hiyo breakfast umekula. Mimi huwa ninamkwepa kwenye lunch. Nikiwa home nakutana nae kwenye msosi mara 2. Nikiwa kwangu huwa sina breakfast. Ikitokea nimekula breakfast ina maana Lunch hakuna. Usiku tu ndo huwa constant lazima nile
 
Madingi hapa ndio nawakubaligi,yani kama haujala chakuls utahojiwa vipi uko sawa,una mawazo,una shida gani mbona hulii,mpaka unaona bora ule tu.😄
 
Mwezi wa pili uzito umegoma kupungua, baada kupungua kilo nane mwezi wakwanza wakati dieti ni ile ile tatizo ni nini?
Vyakula vyote muhimu,unatakiwa ujue blood group yako na unatakiwa kula nini kutokana na blood group
 
Vyakula vyote muhimu,unatakiwa ujue blood group yako na unatakiwa kula nini kutokana na blood group
Mkuu tena blood group inauhusiano gani na uzito wa mtu, vyakula havitegemea haina ya blood group mimi ninavo jua kama ni wanga ni wanga kwa aina zote za damu.
 
Mkuu tena blood group inauhusiano gani na uzito wa mtu, vyakula havitegemea haina ya blood group mimi ninavo jua kama ni wanga ni wanga kwa aina zote za damu.
Kama hivyo
Screenshot_20230930-163547_Google.jpg
 
Kwa siku 45 nilikua silii mchana, nakula tu asubuhi chai ya ragi na skonzi moja na yai moja, mchana napiga ndefu, usiku ndio nakula wanga kidogo na chai ndio nalala. Kila siku kabla ya kuoga nafanya pushup 30 na kuruka ruka kidogo kwa lengo la kupunguza kilo, nitoke Kg 94 nirudi Kg 89 za awali kabla ya holiday.

Jana ndio nilienda kupima nione ni mepungua ngapi, to my surprise nimeingia Kg 103! Natimiza hivyo unene ni mwili wa mtu na ni majaliwa na kadari za Mungu. Mke wangu anakula mara mbili yangu milo mitatu hadi minne kwa siku ila anachezea 49kg hadi 55kg ni model kweli kweli ukimuona. Mimi naona nitajiachia tu litakalokuwa na liwe bwana.
Kama vile unanisema mimi...daah
 
Kanuni ya kupungua uzito
50 % ni chakula hapa jua group lako la damu na diet yake(google utapata)
30% maji lazima unywe maji
15% usingizi lazima upate muda wakutosha kulala
5% mazoezi
 
Ruka kamba daily anza hata na round 100.
Kadri siku zinavyosogea ongeza idadi mpaka ufikie 1000 per day.
Huku ukifanya diet, usipopungua ndani ya mwezi kama utaweza kuheshimu ratiba basi acha liwalo na liwe.
 
Back
Top Bottom