bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Omba mkopo mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bado hakaja lalamika kabisa anaridhikaNa mkeo anakumudu na kilo zako 100
Weeeuhh [emoji2]
Hiyo sitaili sio ya kuzaa mtoto haitungi mimba........Kuna ile mwanaume analala chini (chali) halaf mwanamke anakaa kwa juu. Anakua anakatikia. Hadi achoke.
Kifupi mwenye uzito mkubwa ndio anatakiwa awe chini.
Mbona mkopo mkuu nilikua nao mkubwa zaidi nilisha umaliza vizuri haukunipa shida kabisa, tena kipindi cha mkopo ndo niliongezeka kilo zingine sita kutoka 84 hadi 90.Omba mkopo mkubwa
Jaribu stress za mapenzi zinasaidia kupunguza mwiliMbona mkopo mkuu nilikua nao mkubwa zaidi nilisha umaliza vizuri haukunipa shida kabisa, tena kipindi cha mkopo ndo niliongezeka kilo zingine sita kutoka 84 hadi 90.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu uko nimesha pitia kwote hi ni ndoa yangu ya nne tulisha shindana baada ya stress kama hizo ila sikupungua nilianza mahusiano 2006 nikiwa na 79kg sasa ni hesabie nina 100+ hilo halikunisaidia kabisa pia.Jaribu stress za mapenzi zinasaidia kupunguza mwili
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha mbavu zangu wako je hao wakinyakyusa, wanawazidi wakimachame?pole sana oa mwanamke wa kinyakyusa utanishukuru baadae
Mwili utakua una punguza namna ya kuchoma mafuta sababu utagundua chakula hakiji kwa wakati, mwili una akili nyingi na unajua namna ya kuji hami , hivyo una weza pungua kwa kiasi tuu na kama ni mnene teari na una kitambi, ina weza ikaw angumu zaidi kuondoa kitambi hivho zaidi .Kwahiyo mwili utaendelea kutunza hayo mafuta mpaka lini? Matharani mimi nimeamua kufunga kutwa bila chakula zaidi ya matunda tu, ila usuku saa mbili na kula kipande cha jimbi na greens nataka nifanye hivo kwa mwezi mzima nione matokeo yatakuaje...sasa kwa sitaili hiyo pia mwili utaficha au kutunza yale mafuta?
Ni vichache sana na pia vina wnga ila kwa kaisi kidogo sana, Una weza kula Magimbi ,green beand,Cauliflour na Brocoli , na ukala kwa kisasi nyama ain zote ( swajai hao wanao sema red meat uepuke0 na ukala matund akama Apples ,berries na Avocado, sija fnya research kubw ya kujua vyakula vingine ni vipi, ila hivyo kwauhakika ukiwa unakula utaweza loose weight kwa njia bora zaidiNaomba unitajie vyakula visivyo kua na wanga ukiondoa hayo matunda.
Hata matund apia yana sukari a wanga , tena wale wanao kunywa juice ndio mbaya zaidi inakua hakuna tofauti sana na anaye kunywa Coca Cola.Kosa lako kula vyakula vya wanga usiku, ilitakiwa usiku ule matunda tu, na hivyo vyakula wanga achana navyo.
Ili upungue Uzito unaoutaka haraka mtafute Mtu yoyote kisha kwa Siku Saba mfululizo bishana nae kwa Hasira kuhusu Uwekezaji wa DP World na Bandari zetu utaona utakavyopungua.Kwa siku 45 nilikua silii mchana, nakula tu asubuhi chai ya ragi na skonzi moja na yai moja, mchana napiga ndefu, usiku ndio nakula wanga kidogo na chai ndio nalala. Kila siku kabla ya kuoga nafanya pushup 30 na kuruka ruka kidogo kwa lengo la kupunguza kilo, nitoke Kg 94 nirudi Kg 89 za awali kabla ya holiday.
Jana ndio nilienda kupima nione ni mepungua ngapi, to my surprise nimeingia Kg 103! Natimiza hivyo unene ni mwili wa mtu na ni majaliwa na kadari za Mungu. Mke wangu anakula mara mbili yangu milo mitatu hadi minne kwa siku ila anachezea 49kg hadi 55kg ni model kweli kweli ukimuona. Mimi naona nitajiachia tu litakalokuwa na liwe bwana.i
Inajualikana kama Ketogenic diet ni diet moja ina masharti labda niseme ya kisayansi zaidi na ukikosea tuu unatoka kwnye hiyo hali inaitwa Ketosis ,.Keto diet ikoje
Funga aka kaa na njaa kuanzia saa 11 alfajiri mpaka saa 1 usiku na ikifika usiku kula chakula usile tena mpaka kesho yake usiku. Na wakati wa usiku kunywa maji ya uvuguvugu glasi 8 fanya kufunga kwa siku 90 utapunguwa pasipo na kutumia dawa yoyote ile.Weka hapa madini Dr ili upate wateja zaidi watu ukiwaomba aje inbox wanadhani kupigwa tu usihofu toa ushauri wako mkuu
Njoa hiyo yes ina wez akukufanya upungue ila sio ya kiafya sababu hapo ni stress ndio inayo kufanya uwezeIli upungue Uzito unaoutaka haraka mtafute Mtu yoyote kisha kwa Siku Saba mfululizo bishana nae kwa Hasira kuhusu Uwekezaji wa DP World na Bandari zetu utaona utakavyopungua.
Kila la Kheri.
Kweli kabisa kwa maana hiyo ni Intermittent fasting .Funga aka kaa na njaa kuanzia saa 11 alfajiri mpaka saa 1 usiku na ikifika usiku kula chakula usile tena mpaka kesho yake usiku. Na wakati wa usiku kunywa maji ya uvuguvugu glasi 8 fanya kufunga kwa siku 90 utapunguwa pasipo na kutumia dawa yoyote ile.
Kiwango Cha mazoezi Bado ni kidogo sana unachofanya...Mimi huwa nikiamua nikate hata kg 2 au 3 Kwa wiki naweza Sana..naweza kimbia km more than 10 bila kusimama Kwa wiki Mara 4 inatosha...halafu kama wadau wanavosema chakula Kina mchango sana.usiku kabla hujalala usile wanga maana naona Bado unakula na ukienda kulala huo unachangia pia...
Asubuhi ukiamka piga maji ya vuguguvu au maji ya ndimu..wahi kwenye shughuli zako..then badae ndio unywe chai kama kawaida na mchana kula kama kawaida...jioni piga zoezi hasa namaanisha " hivi ulishawahipiga zoezi Hadi asubuhi ukiamka unajihisi mwepesi nakama Kuna mzigo umeondoka na kujisikia Raha" kama hujafikia hiyo level basi Bado zoezi lako liko chini....usiku usile wanga unaweza kula matunda yasiyo na sukari nyingi pendelea kula parachichi au tango etc ila sio ndizi au tikiti maji....
Ukifanya ivo nahakika 100 percent utakata kilo..
Sasa leo nimetimiza wiki bila kugusa chakula cha wanga nyingi kama wali, maharage ugali nyama au samaki, asubuhi na kunywa chai ya tangauzi na juice ya limao yenye maji maji ya vugu vugu, mshana na shindia vipande vya matunda kama tikiti, chungwa, na embe, usiku saa mbili na nusu kula gimbi kipande na spinach strictly hiyo ndo routine ya kula, ntaendelea hivi kwa zaidi ya siku 23 nifikishe mwezi ndo nipime nione hali itakua je.Covax Njia nyingi wanazokupa wadau sio sustainable in the long run.
Njia unayotumia Sasa ni sahihi na inafanya kazi ila hujaipa muda kuona matunda yake. Kifupi you're on the right track.
Sababu umepunguza intake ya chakula mwili umeshtuka na response yake ni water retention. Hiyo weight uliyoongezeka kwa asilimia kubwa ni maji na mwili unajitahidi kutunza all the energy it can maana umegundua huli kama hapo awali.
Ukiendelea hivyo hivyo bdae mwili utazoea na utaacha kufanya retention hapo ndo utaona drop in weight. Hii itachukua muda kidogo sio mwezi mmoja au miwili ila ni njia sahihi na unayoweza ifanya kwa muda mrefu badala ya njia zingine za kujitesa wanazokupa watu. Ukitaka kujua hii njia inafanya kazi usiangalie weight angalia size, utaona nguo zinakutosha vizuri bila kubana. Utaona umekua mwepesi badala ya 30 pushups utapiga 40 bila kuchoka ilhali scale inasema umeongezeka.
Only change I'd advise is, kula mchana vizuri kabisa wanga na msosi wowote ule ila usiku ndo piga ndefu au kunywa chai au mboga kidogo/matunda yasiyo na sukari.
Kwahiyo asubuhi ni sile kabisa mpaka saa ngapi ndo niweke kitu ndani.Chalula chq Asubuhi ndo balaa hqkitakiwi kabisa.
Iyo yq kuitwa chai ya asubui ndo imachangia zaidi uzito