Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As promisedKuwa rasta kitabia na mwili wako hautakuwa tena na haja ya kuweka akiba kubwa.
Mtu wa amani na kila mtu
Mtu wa asili kwa mambo mengu
Upendo ndio dini ake
Kazi anapenda ajifanyie ila sio utumwa na haibii mtu.
Hayuko kukusanya, yupo kuishi kujifunza na kutumika duniani kwa maana na faida ya humanity.
Ni mfalme
Ukiondoa sababu na faida mwili unaoziona za kutunza rasilimali nyiiiiiiiiiiiingi (kujiandaa na vita kwa mfano, usiriaz mwingi) basi uzito lazima upungue. Mtoa mada kwani unapambana na vita ngapi hapo ulipo?? Punguzaa. Kula maisha✌.
Kuna pdf ya nadharia kuhusu uzito na mwili ntakupatieni wana.
Intermittent fasting ndo ikojeFanya kitu inaitwa "intermittent fasting"..
Its a slow bt sure method. Ndano ya miez 6 ukiwa makini kbsa utaona changes kubwa mno.
Mimi nilifanya nkatoka 97 hadi 83. Nkajisahau nkarudi Misri lkm zmebaki hapo hapo.
Angalizo, wiki 3 za mwanzo n ngumu but after hapo unateleza tu.
Kama vipTumia vyakula Kwa percent kubwa visivyo vya wanga
Hii kwamtu mwenye madonda ya tumbo inafaa auFanya fasting asubuhi kunywa maji ya uvuguvugu weka limao na tangawizi plus asali, baada ya masaa mawili kula matunda tu, saa Tisa kula ugali au wali kiasi cha ngumi yako na mboga za majani nyingi plus protini. Usiku kunywa maji tu ya viungo baada ya mwezi watu watakusahau mtaani, hii nimefanya Mara nyingi sana japo ni ngumu ila jikaze
Sasa mkuu kwa watu wenye madonda ya tumbo hizi njia zakufunga vipIko hivi ndugu mleta maada. Wazungu wanasema Unlearn to Learn. Kuna njia nyingi sana ambazo watu huzishauri zitumike katika kupunguza uzito na njia hizi zinapishana katika ufanisi wa kuleta matokeo tarajiwa. Ili uweze kupungua uzito ni lazima matumizi ya Calories katika mwili wako yawe makubwa zaidi ya kiasi unachoingiza mwilini mwako (Energy consumed
1. Kufunga kula: Njia hii ya kufunga kula kwa masaa 12 hadi 24 imekuwa na uwezo mkubwa sana (40%) wa kuleta matokeo. Katika njia hii Matumizi ya Nishati mwilini huwa ni makubwa zaidi ya kiasi cha Nishati iliyoingizwa mwili hivyo kupelekea mwili kupungua uzito kupitia kuunguza mafuta ya ziada yanayotunzwa katika sehemu mbali mbali za mwili kama vile Chini ya Ngozi na ndani ya viungo. Ukianza kufunga hakikisha pia chakula unachotumia kuvunja funga yako (breakfast) kiwe kisiwebkila chakula chenye Nishati nyingi sana (High caloric value) kama vile ugali mkubwa, sahani iliyojaa wali na mihogo n.k. Kumbuka mtu akiwa katika haki ya kushiba chakula kinchotumika sana ni kile alichotoka kula kilichotunzwa hakivunjwi vunjwi hata kidogo na kama mtu amefunga chakula huvunjwa katika mtiririko huu
Wanga > Mafuta > Protini. Kwahiyo kama haujala mwili hauna wanga, mafuta hutumika kuzalisha nishati na kama mafuta yameisha Protini hutumika (Autolysis). Swali linaweza kuwa ni kufunga kwa namna ganj kwafaa kati ya ile kufunga mfululizo(continuous fasting) au kufunga kwa kurusha siku (intermittent fasting), mimj nakuambia Tumia intermittent fasting. Has been proven effective enough to make your body loose weight.
2. Kupunguza kula wanga(Cutting off carbs) : Wanga umeonekana kuwa ndio chanzo kikubwa cha mafuta mwilini. Hivyo sasa, ili kuzuia mafuta yaliyotunzwa mwilini kuongezeka tunapunguza ulaji wa wanga na kuhamia kula vyakula kama Nyama (Protein) na Mboga za majani. Kufanya hivi hupelekea mwili kuanza kutumia mafuta ya yaliyotunzwa kabla kuzigeukia protini. Hivyo hii nayo inasaidia kupungua uzito. Na kiasi cha wanga unapaswa kula kama unataka kupungua uzito kiwango cha ngumi yako.
3. Kufunga kula huku ukinywa maji tu. Hii njia inaweza kukupa matokeo within 7days unaisha kabisa bila hata kuhangaika sana. Swali je, utaweza kujizuia kula kwa hizo siku zote huku ukiwa unakunywa maji tu? Inawezekana sana ila fanya kwa kuruka siku moja moja (intermittent fasting).
4. Achana na hizi tabia : Acha kunywa pombe usiku na uende kulala, acha kula sana usiku na uende kulala muda huo huo, punguza matumizi ya sukari au vyakula au vinywaji vyenye sukari nyingi, Acha tabia kula usiku muda umeenda sana jizoeze kula chakula chako cha usiku saa moja jioni kama ilivyokuwa boarding schools.
Kama umeisoma hii na unataka niendelee, Quote tena na andika More
Utakuwa mchawi ndio maana hupunguiKwa siku 45 nilikua silii mchana, nakula tu asubuhi chai ya ragi na skonzi moja na yai moja, mchana napiga ndefu, usiku ndio nakula wanga kidogo na chai ndio nalala. Kila siku kabla ya kuoga nafanya pushup 30 na kuruka ruka kidogo kwa lengo la kupunguza kilo, nitoke Kg 94 nirudi Kg 89 za awali kabla ya holiday.
Jana ndio nilienda kupima nione ni mepungua ngapi, to my surprise nimeingia Kg 103! Natimiza hivyo unene ni mwili wa mtu na ni majaliwa na kadari za Mungu. Mke wangu anakula mara mbili yangu milo mitatu hadi minne kwa siku ila anachezea 49kg hadi 55kg ni model kweli kweli ukimuona. Mimi naona nitajiachia tu litakalokuwa na liwe bwana.
Mi ntasema tatizo sio chakula wala miili per se....... tatizo ni akili ya muhusika tuUtaona hapo kwamba tatizo sio chakula bali ni miili tu.
Njia rafiki kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo ni kupunguza kiasi cha chakula na sio kufunga. Kufunga kwa huyu mtu mwenye madondavya tumbo inaweza changamoto na ikawa zaidi ya changamoto.Sasa mkuu kwa watu wenye madonda ya tumbo hizi njia zakufunga vip
Intermittent fasting ndo ikoje
Studies zina sema kwamba haupaswi kufuanya fasting ya namna hii kwa muda mrefu unapaswa kufanya week moja , halafu weki nyingine una kula kama kawaida , ( bila wanga na sukari) , ili mwili wako usiweze adopt hali hiyo na kukufanya ushindwe punguza uzuto sababu mwili uta tambua kwamba chakula hakiji tena kwa wakati na ukisha jua hivyo unaamua kituza mfuta yalio po yasitumike kwa njia ya haraka ya kawaida na matokeo yake una weza usiwe una pungua kama utakavyo .Intermittent fasting ni njia nzuri ya kukuwezesha kupungua uzito bila counting calories . yani una funga ma saa kadha kwa siku , mfono mimi hua na dunga ma saa 16 kwa siku , yani nina kula ma ra mbili kwa siku kama hivi, ,niiamka asubuhi sili breakfast, nakuja kula saa sita mchana , baada ya hapo na hesabu masaa nane yani nina kula tena saa tatu usiku , baada ya hapo sili chohcote nina hesabu masaa kumi na sita ambapo itakuwa ime fika saa sicta mchana ndio nakula tena na ninapo kula huwa situmii vyakula vya wanga na sukari.
Maelezo mazuri kabisa, ubarikiwe kwa ushauri huu mkuu!Iko hivi ndugu mleta maada. Wazungu wanasema Unlearn to Learn. Kuna njia nyingi sana ambazo watu huzishauri zitumike katika kupunguza uzito na njia hizi zinapishana katika ufanisi wa kuleta matokeo tarajiwa. Ili uweze kupungua uzito ni lazima matumizi ya Calories katika mwili wako yawe makubwa zaidi ya kiasi unachoingiza mwilini mwako (Energy consumed
1. Kufunga kula: Njia hii ya kufunga kula kwa masaa 12 hadi 24 imekuwa na uwezo mkubwa sana (40%) wa kuleta matokeo. Katika njia hii Matumizi ya Nishati mwilini huwa ni makubwa zaidi ya kiasi cha Nishati iliyoingizwa mwili hivyo kupelekea mwili kupungua uzito kupitia kuunguza mafuta ya ziada yanayotunzwa katika sehemu mbali mbali za mwili kama vile Chini ya Ngozi na ndani ya viungo. Ukianza kufunga hakikisha pia chakula unachotumia kuvunja funga yako (breakfast) kiwe kisiwebkila chakula chenye Nishati nyingi sana (High caloric value) kama vile ugali mkubwa, sahani iliyojaa wali na mihogo n.k. Kumbuka mtu akiwa katika haki ya kushiba chakula kinchotumika sana ni kile alichotoka kula kilichotunzwa hakivunjwi vunjwi hata kidogo na kama mtu amefunga chakula huvunjwa katika mtiririko huu
Wanga > Mafuta > Protini. Kwahiyo kama haujala mwili hauna wanga, mafuta hutumika kuzalisha nishati na kama mafuta yameisha Protini hutumika (Autolysis). Swali linaweza kuwa ni kufunga kwa namna ganj kwafaa kati ya ile kufunga mfululizo(continuous fasting) au kufunga kwa kurusha siku (intermittent fasting), mimj nakuambia Tumia intermittent fasting. Has been proven effective enough to make your body loose weight.
2. Kupunguza kula wanga(Cutting off carbs) : Wanga umeonekana kuwa ndio chanzo kikubwa cha mafuta mwilini. Hivyo sasa, ili kuzuia mafuta yaliyotunzwa mwilini kuongezeka tunapunguza ulaji wa wanga na kuhamia kula vyakula kama Nyama (Protein) na Mboga za majani. Kufanya hivi hupelekea mwili kuanza kutumia mafuta ya yaliyotunzwa kabla kuzigeukia protini. Hivyo hii nayo inasaidia kupungua uzito. Na kiasi cha wanga unapaswa kula kama unataka kupungua uzito kiwango cha ngumi yako.
3. Kufunga kula huku ukinywa maji tu. Hii njia inaweza kukupa matokeo within 7days unaisha kabisa bila hata kuhangaika sana. Swali je, utaweza kujizuia kula kwa hizo siku zote huku ukiwa unakunywa maji tu? Inawezekana sana ila fanya kwa kuruka siku moja moja (intermittent fasting).
4. Achana na hizi tabia : Acha kunywa pombe usiku na uende kulala, acha kula sana usiku na uende kulala muda huo huo, punguza matumizi ya sukari au vyakula au vinywaji vyenye sukari nyingi, Acha tabia kula usiku muda umeenda sana jizoeze kula chakula chako cha usiku saa moja jioni kama ilivyokuwa boarding schools.
Kama umeisoma hii na unataka niendelee, Quote tena na andika More
Hawezi kuwa na 107Dah urefu 107 cm.
Punguza uzito mkuu.
Hiyo sio safari ya siku 45 ni safari ya imepungua basi atleast mwaka mmoja.
Haiwezekani kilo 100,urefu 107cm inataka juhudi sana.
Na wala usihangaike na dieti ama vyakula fulani.
Nitakupa njia nzuri za kupungua hapa jamvini
Aminaa aminaMaelezo mazuri kabisa, ubarikiwe kwa ushauri huu mkuu!
Kuna ile mwanaume analala chini (chali) halaf mwanamke anakaa kwa juu. Anakua anakatikia. Hadi achoke.Na mkeo anakumudu na kilo zako 100
Weeeuhh 😃
Kwahiyo mwili utaendelea kutunza hayo mafuta mpaka lini? Matharani mimi nimeamua kufunga kutwa bila chakula zaidi ya matunda tu, ila usuku saa mbili na kula kipande cha jimbi na greens nataka nifanye hivo kwa mwezi mzima nione matokeo yatakuaje...sasa kwa sitaili hiyo pia mwili utaficha au kutunza yale mafuta?Studies zina sema kwamba haupaswi kufuanya fasting ya namna hii kwa muda mrefu unapaswa kufanya week moja , halafu weki nyingine una kula kama kawaida , ( bila wanga na sukari) , ili mwili wako usiweze adopt hali hiyo na kukufanya ushindwe punguza uzuto sababu mwili uta tambua kwamba chakula hakiji tena kwa wakati na ukisha jua hivyo unaamua kituza mfuta yalio po yasitumike kwa njia ya haraka ya kawaida na matokeo yake una weza usiwe una pungua kama utakavyo .
Naomba unitajie vyakula visivyo kua na wanga ukiondoa hayo matunda.Kosa lako kula vyakula vya wanga usiku, ilitakiwa usiku ule matunda tu, na hivyo vyakula wanga achana navyo.