Kuna uwezekano mkubwa ya kwamba ulicho gain sio fat ila ni muscles, hivyo kwenye scale uzito ukaona umeongezeka lakini sio kwamba umenenepa.
Njia bora ya kufanya ni kubadilisha kabisa mfumo ya maisha yako kwnye kula, usijaribu hesabu calories sababu njia hiyo huwa haidumu kukuwezehsha pungua kwa muda mrefu .
Cha kufanya , jaribu kushi kama mtu mwenye ugonjwa wa kisukari, ili uweze pata matokeo haraka na utaweza control uzito kama ukiamua hivyo.
Jambo la kufanya ni kuacha kula vyakula vya wanga na sukari .hivyo ndio vinavyo kukupa unene .
Funga (fasting ) jaribu kufunga kwa masaa 16 kwa siku huku ukila mara mbili kwa siku , na mlo mmoja na mwingine upishane masaa 8 , yani unapo amua kula basi kula baada ya hapo kaa masaa nane bila kula kitu cohcote zaidi ya maji na ndio ule tena , baada ya hapo una funga tena kw ma saa 16 ,lakini isiwe mfululizo yani week moja una funga masaa 16 na week nyingine una kula kawaida ila unaepuka vyakula vya wanga na sukari, hiyo ita saidia mwili wako usiweze adapt mabadiliko hayo na kuzoea nakuacha kukufanya upungue uzio kwa kutengeneza resistance .
Fanya mazoezi, hapo kwenye mazoezi yasiwe yale ya "No pain no gain" na kufanya mazoezi magumu kama yale wano dance kule gym na kudhani ni Aerobics wakati yake ni Anaerobic, ambapo huwa sio mazuri kwa mtu anaye taka kupungua , hivyo epuka mazezi yoyote yanao julikana kama Anaerobics .
Una weza beba chuma kama kawaida ,ila zoezi zuri ambalo liatauwezesha kupungua ni kutembea kwa miguu (Aerobics) kwa dakika 45 - 1hr , hiyo ni tosha .
Again Epuka zaidi mazoezi ya Anerobics,hayo mara nyini yana kufanya una gain weight sababu yana tumia sukari (Glucose) kukupa nguvu na matokeo yake unapatwa na njaa kubwa na kuanza kula zaidi . Mazoezi mengine ambayo ni mazuri kwenye kupingua ni yale ya jilikanayo kama High-Intensity Interval Training (HIIT) , haya ni mazuri sababu yana choma mafuta kwa haraka zaidi na hata ukimaliza bado yanachmeka kwa kuendelea yani wanaita After effct burning , naomba google HIIT ujifunce namna ya kufanya kwa maelezo ni marefu ku type hapa.
Diet , je ule nini? usiwasikileze hawa wanao kuambia sijui acha nyama nyekundu sijui vyakula vya mafuta, wote hao hawako sahihi, mafuta unayo paswa kuepuka na ni yale yalio sindikwa na yale yasio salama yanayo tokana na pia ulaji wa wanga.
Mafuta ya nyama hayana matatizo yoyote na hayana uwezo wa kupandisha sukari kwnye damu yako. hivyo unapasw akuzingatia diet za iina hii ili uweze pungua.
Diet ya kwanza ni Keto Diet , hii ni ngumu kinamna fualani ila ukiiweza ni zuri sana ( Google it)
Diet nyingine ni inaitwa LOw card diet , hii piaunaach kula vyakula vya wanga na sukari kwa namna fulani , ina kwenda kwa ufanisi zaidi kama uta combine pamoja na kufunga na mazoezi .
Ule nini kwenye Low carB Diet?
1.Nyama aina zote .( Proteins)
2.Matunda mfano Apples ,berries ,Avocado ( epuka matunda yote ya tropical sababu yana sukari na wanga kwa wingi)
3. Mboga mboga , ni muhimu kutumia mboga zenye kiwango kidogo sana cha wanga, mboga nyingi za kwetu zina wanga kw akiasi kukubwa , hivy nakushauri tumia mboga hizi ambazo na uhakika kiwango chake cha wanga ni kidogo sana , ila huwa ni ghali nazo ni -
( A) Green Beans
( B) Cauliflower
(C) Broccoli.
Zipo mboga iana nyingine ila na zo zifahamu kwa uhakika ni hizo .
Utakuwa na hamu ya kula kitu kama Ugali au wali kuweza kula na hivyo , jibu ni kwamba usigyse vyakula hiyo , jaribu kutumia Magimbi kama ,wanga , sababu magimbi ni mazuri haya pandishi sukari kwnye damu na hivyo huwa haya nenepeshi.
Katika vyakula jaribu kutumia mafuta haya kwnye mapishi yako mafuta muri ni haya tuu
1.Olive Oil
2.Coconut oil
3.Avocado Oil
La mwisho ni kwamba hakikisha unaondoa stress kwnye maisha yako , stress ni chanzo kikubwa nacho ya kunenepa , pia unapaswa upate muda mzuri wa kupumzika , yani kulala, upate usingizi uio na quality .
Fanya hivyo kwa muda wa mwezi tuu utaona tofauti kubwa sana , na utakapo ona una pungua sana basi ndio ale una kuw aun apunguza kwa kula wanga kidogo ili usije pungua ukabaki kijiti ,Kilala Kheri