sportstore
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 497
- 1,769
Kiwango Cha mazoezi Bado ni kidogo sana unachofanya...Mimi huwa nikiamua nikate hata kg 2 au 3 Kwa wiki naweza Sana..naweza kimbia km more than 10 bila kusimama Kwa wiki Mara 4 inatosha...halafu kama wadau wanavosema chakula Kina mchango sana.usiku kabla hujalala usile wanga maana naona Bado unakula na ukienda kulala huo unachangia pia...
Asubuhi ukiamka piga maji ya vuguguvu au maji ya ndimu..wahi kwenye shughuli zako..then badae ndio unywe chai kama kawaida na mchana kula kama kawaida...jioni piga zoezi hasa namaanisha " hivi ulishawahipiga zoezi Hadi asubuhi ukiamka unajihisi mwepesi nakama Kuna mzigo umeondoka na kujisikia Raha" kama hujafikia hiyo level basi Bado zoezi lako liko chini....usiku usile wanga unaweza kula matunda yasiyo na sukari nyingi pendelea kula parachichi au tango etc ila sio ndizi au tikiti maji....
Ukifanya ivo nahakika 100 percent utakata kilo..