Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

PIGA DEMU INAYOUZA MWILI KAVU ALAFU PANGA KWENDA KUCHEKI AFYA BAADA YA MIEZI MITATU... NDANI YA MWEZI MMOJA WA MWANZO UTAFANIKIWA KUPNGUZA KG 10 KWA MAWAZO YA JE, KAMA UKIKUTWA NA NGOMA? MATOKEO NI CHAP NA HUNA HAJA YA MAZOEZI ILA ANGALIZO NI KWAMBA "KAMA UKIUKWAA KWELI UTAJUA MWENYEWE" FANYA KAMA UNA-BET TU
 
Polee sana kiongozi :
Kuna huu ukweli ambao wengi huona kama uongo na kukomalia yanayoandikwa na influencers. Ukweli ni hivi, mazoezi yanamchango kidogo mnoo kwenye kupungua uzito. Tafiti nyingi zimeonyesha mtu ambaye huwa na Nidhamu kwenye chakula hupungua uzito kwa kilo nyingi sana ikilinganishwa na anayefanya mazoezi.
Mazoezi yanasaidia sana katika kuuweka mwili imara na kuzuia kuwepo kwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama presha ya kupanda.
Ukitaka kupungua uzito kuwa na nidhamu n chakula. Kama unataka kujua namna gani.. Quote hii reply na uulize How.
 
Kuwa rasta kitabia na mwili wako hautakuwa tena na haja ya kuweka akiba kubwa.

Mtu wa amani na kila mtu
Mtu wa asili kwa mambo mengu
Upendo ndio dini ake
Kazi anapenda ajifanyie ila sio utumwa na haibii mtu.
Hayuko kukusanya, yupo kuishi kujifunza na kutumika duniani kwa maana na faida ya humanity.
Ni mfalme

Ukiondoa sababu na faida mwili unaoziona za kutunza rasilimali nyiiiiiiiiiiiingi (kujiandaa na vita kwa mfano, usiriaz mwingi) basi uzito lazima upungue. Mtoa mada kwani unapambana na vita ngapi hapo ulipo?? Punguzaa. Kula maisha✌.

Kuna pdf ya nadharia kuhusu uzito na mwili ntakupatieni wana.
 
Fanya kitu inaitwa "intermittent fasting"..
Its a slow bt sure method. Ndano ya miez 6 ukiwa makini kbsa utaona changes kubwa mno.
Mimi nilifanya nkatoka 97 hadi 83. Nkajisahau nkarudi Misri lkm zmebaki hapo hapo.
Angalizo, wiki 3 za mwanzo n ngumu but after hapo unateleza tu.
 
Niliwahi kufanya mazoezi kila siku asubuhi na jioni kwa lengo la kupunguza uzito, na matokeo nilipata kama ya kwako (kuongezeka) ,nikasema huu ni ushenzi! Nikapiga chini mazoezi ,nikaendelea na maisha yangu.

Baadaye kidogo nilipata ka likizo miezi kama 2 hivi, nikaamua kwenda nyumbani (kijijini) ,nakumbuka ulikuwa msimu wa mvua/kilimo;

Nikasema ngoja namimi nishike jembe nilime viazi (jasiri haachi asili) [emoji23].


Ndg yangu nilivyorudi mjini watu walibaki midomo wazi kwamba nimekonda!!
Nikasema msinitanie, nikaenda kupima uzito[emoji848]

nilikutwa na kg 67 kutoka kg 83..
Najua wewe huwezi kulima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]


Sasa basi,
Katika harakati zako za kupunguza uzito/unene; hakikisha katika matunda, "limao" iwe namba moja!
Limao ina matokeo mazuri kuliko kukimbia! Fanya hvyo.
 
Mbona hivyo vichagamoto vya kitoto watu tuna chagamoyo zaidi ya hizo ila hatupungui, kukonda kwasbb ya ngoma ni vijana wasio miliki pesa na mali kuna chagamoto ngoma ni cha mtoto.
 
Tumia vyakula Kwa percent kubwa visivyo vya wanga
 
Kama huwezi joging kwa wiki mara nne uwe unaenda kuogelea itapungua
 
Tell us how to do it plz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…