Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Usifosi kila unachoamini kiwe ni sahihi kwa kila mtu.Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
Wee bado haulewi kitu,endeleee hivyo hivyoKuumizwa kwako sio ndio uanze kutushangaa tunaopenda inawezekana wewe kwenye mapenzi au mahusiano kiujumla ni FUNGU LA KUKOSA.
Uko sahihi....hatuwezi kufanana.Hapo vip!!
Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .
Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.
mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.
Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
Kwan sisi wenyew wanaume tuna tabia nzuri??Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa
Bado safari ni ndefu..Kwan sisi wenyew wanaume tuna tabia nzuri??
LOVE IS NOT ABOUT FINDING THE RIGHT PERSON, LOVE IS ABOUT BECOMING THE RIGHT PERSON, ONCE YOU BECOME THE IDEAL YOU, THE RIGHT PEOPLE WILL AUTOMATICALLY GRAVITATE TOWARDS YOU.
Siku utakapo elewa hii sentensi hutaumiza kichwa tena kuhusu mapenzi.
Kulingana na uelewa wako bado ntakuita fungu la kukosa tuWee bado haulewi kitu,endeleee hivyo hivyo
Uko sahihi ila female narcissist ni wengi mno. Na wanaoteseka ni wanaume wanaoishi maisha ya maadili kiduniani wanamuita beta male.Kwan sisi wenyew wanaume tuna tabia nzuri??
LOVE IS NOT ABOUT FINDING THE RIGHT PERSON, LOVE IS ABOUT BECOMING THE RIGHT PERSON, ONCE YOU BECOME THE IDEAL YOU, THE RIGHT PEOPLE WILL AUTOMATICALLY GRAVITATE TOWARDS YOU.
Siku utakapo elewa hii sentensi hutaumiza kichwa tena kuhusu mapenzi.
Sawa nimekubali kukosaKulingana na uelewa wako bado ntakuita fungu la kukosa tu
Ni vizuri kuoa ila usioe wanawake wenye drama, wanaotaka attention mtandaoni kwa wanaume, kwa wewe tafuta mwanamke ambaye hajihusishi sana na social medias. Kwa maana unaonekana ni mwadilifu.Hapo vip!!
Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .
Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.
mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.
Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
Amani iwe nawe mkuuSawa nimekubali kukosa
Uumizwe wewe na utushauri wengine tukatae ndoa? Acha kila mmoja aonje utamu wa ngoma yake.🤣Hapo vip!!
Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .
Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.
mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.
Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
Mkuu Kwa ss wazoefu tunajua tu unamachungu ya kupigwa chini.
Kuna walioapa hawatapenda tena ila badae wakaskiska wanauliza maswali ya kijinga kama ...'ulikuwa wapi sikuzote'.."kwann sikujujua mapema" na kauli za kipuuzi kama hizo na kusahau kabisa walisha apa kutotaka tena utamu.
Weka akiba ya maneno mkuunikweli
Ni kweli nimekubali kupigwa chiniMkuu Kwa ss wazoefu tunajua tu unamachungu ya kupigwa chini.
Kuna walioapa hawatapenda tena ila badae wakaskiska wanauliza maswali ya kijinga kama ...'ulikuwa wapi sikuzote'.."kwann sikujujua mapema" na kauli za kipuuzi kama hizo na kusahau kabisa walisha apa kutotaka tena utamu.
Weka akiba ya maneno mkuu