Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyo kitabia naona ni bora kubaki bila kuoa

Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyo kitabia naona ni bora kubaki bila kuoa

Hapo vip!!

Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .

Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.

mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.

Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
Mkuu pole na upate kupona psychology hauko sawa. Umetenda ndio maana
 
Back
Top Bottom