binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kaka Mimi na kuelewa, japo Mimi ninachosema ni kuwa binadam wote wameharibika sana kwa sasa ndio maana wanaume wanalia na wanawake wanalia vilevile.Ujue kitu kinacho waumaga sana wana ni zile ghrama za kumtunza mwanamke, sometimes unajinyima ili kumtimizia mahitaji yake muhimu. Halafu kuna mpuuzi mmoja yy anakula bila kutoa mbuni.
Nishashuhudia jamaa wawili,wake zao wakitembea na wahuni tu wa kitaa na mida ya mchana hawa wanawake walikuwa wanawapeleka msosi kwenye hotpot.Acha tu ,huyu mmoja alikuwa mwanetu, wana wakamchana live ,ndipo akaona aibu akaachana na yule mwanamke.
Ila nyie dada zangu kwenye mahusiano mnachoofa wengi wenu ni kipochi manyoya.
Nina mwanangu demu alimwacha na sio kwamba jamaa alikuwa haudumii ana hudumia,ila demu akapata meneja wa bank kipindi akiwa internship,mwana demu katoka nae advance,acha kabisa yaani mwana alikonda kutoka size ya Msechu mpaka kufikia size ya wabogojo, kitambi chote kilipotea.
Nimemkosoa mleta mada kwa aina ya title aliyoiandika, kuwa kwa aina ya wanawake tuliopo sasa ndio sababu ya ndoa kuwa na matatizo sio kweli. Kuna uwepo wa wanawake wakataa ndoa kwani nao wametendwa na wanawake wenzao? Wametendwa na wanaume hawa hawa ambao humu wanajipaint kama malaika Fulani hivi…….
Kusema wanawake tunachoofa kwenye mahusiano ni kipochi tu?? Napo sio kweli kwa asilimia zote inategemea una date na mwanamke wa aina gani, umri gani, ana mtazamo upi etc. Swali huwa mnawaambia expectations zenu mnapoanza mahusiano? Huwa mnatamani wawe wanaoffer nini?
Hata hivyo nakubali kuwa wanawake tumebadilika kwa 70% kuendana na nyakati na mahitaji ya sasa, kila kitu kimebadilika so as mwanamke!