Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Ujumbe huo uwaendee wote kataa kuoa,Ila we jamaa bhna😂😂😬💔🚮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe huo uwaendee wote kataa kuoa,Ila we jamaa bhna😂😂😬💔🚮
Kama wewe ni mwanaume watakuwa wanakupakuaWanaume wa Tanzania tumetawaliwa na mambo mawili makubwa. 1. ubinafsi 2. u-mfumo dume. Yaani tunadhani sisi tuna haki ya kufanya baadhi ya mambo lakini wanawake hawaruhusiwi. Kwa mfano kuchepuka. Jambo linalolalamikiwa sana na wanaume wengi ni kuwa eti siku hizi ukioa, mke wako hakiwii kuchepuka. Hivi hao wanawake huwa wanachepuka na wanyama? Si wanachepuka na sisi wanaume? Kwa nini lawama ziende kwa wanawake wakati wanaume ndiyo chanzo? Mimi nilipokuwa na ex wangu kuna siku tulikuwa tunaamua kucheza mchezo. Yeye anatangulia mbele mimi nyuma, kama hatuko pamoja. barabarani, kwenye dala dala na bar hatukai pamoja. Nilikuwa nashangaa idadi kubwa ya wanaume waliokuwa wanam-approach, tena kwa kung'ang'ania vibaya sana. Wengi ni watu wazima wenye wake zao. Sasa ukiwa na society ya namna hii utawalaumuje wanawake? Wanaume tutulie dawa ituingie, maisha ya sasa wanawake nao wanajibu mapigo.
Akili za watu local wasio na exposure na waliosoma elimu za kata hizi. Wakimtukana mtu ni shoga basi wanajiona ni wajanja wa mjini kweli kweli.Kama wewe ni mwanaume watakuwa wanakupakua
Noted...[emoji3578][emoji3578]Mimi nilikuwa najiona mwenye bahati sana kwenye mapenzi na mke wangu kabla ya kugundua yaliyojificha, ndoa ikavunjika.nami sina imani kabisa na wanawake ingawa nina mahusiano kadhaa kwa ajili ya kuweka mwili sawa.
Sasa ninavyolipiza kisasi kwa wake za watu kwakweli Mungu anisamehe tu jinsi ninavyowafanya.
Miingoni mwao ni watu wenye ndoa zenye hadhi na heshima kiasi kwamba nikikutana nao barabarani wameongozana na waume zao nabaki kujisemea " daah!".
Usijidanganye kumuamini mwanamke/ mwanaume wako kwa 100%. Ni kosa kubwa mno.
Noted...[emoji3578]Asilimia kubwa ya wanawake huwa watii, wema, wanyenyekevu, romantic, wanajari, si wabinafi KAMA TU HANA PLAN B. Siku akiwa na plan B ndio utaanza sikia wewe si lolote, hunibabaishi, kwani mwanaume ni ww peke yako nk. Mwanamke anaweza kujiweka kwa mwanaume ili amlelee wanae hata kwa zaidi ya miaka 20, wakikua wakajipata anakunyea mavi akiamini watoto watamtetea na kumtunza.
Siwapendi wanawake, msiniulize kuhusu mama yangu, ninayoyasema nimeyaona nyumbani kwetu na mama aliyenizaa.
Nakusanya madini...Nimetumia wengi wao najua utakataa ila kiasili wanawake asilimia kubwa ni wabinafsi, hata wakiwa na hela wengi wenu hela yenu haionekani.
Mwanamke hata umuonyeshe expectations gani ila kama akiamua lake anaamua,mimi jamaa yangu aliachwa wakati akiwa kwenye process ya kupeleka barua,yule meneja wa bank akawahi kupeleka barua na akaoa.
Narudia tena wana wanaumia sababu wana gharamia sana,halafu baadae waachwa na kugongewa.
Mfano huko mbele US ndio kabisa wanaume mpaka wanapelekea kupata msongo mkubwa wa mawazo,kwani kisha yagharamikia mapenzi, baada kuachwa na bado anataka 50/50 na bado kuna allomony, haya maaumivu wanawake ya kutoa hela yenu kugharamikia mapenzi wengi wenu hamuyajui na hata kama wapo hawazidi 5%.
Kuna mzungu mmoja jimbo la Florida anaishi kwenye,gari kwanza mali zake zimepigwa pasu,pili kamlipa Alimony mkewe kiasi kinafikia USD 2m,mzee ana miaka 60+ hata ukimtizama kichwa hakipo vizuri ,anaongea mpaka analia.
Kinacho waumiza wana ni zile gharama tunazoziwekeza kwenye mapenzi na mgawanyo wa mali baada ya kuachana plus child support na ndio maana wengine hufikia hatua ya kudata na kuwa na msongo wa mawazo.Kwani anafikiria hela aliyo ipoteza baada ya kudate na baada ya mgawanyo wa mali na bado kuna hela inabidi aitafute kwa ajili ya child support na allomony (kwa nchi za ulaya),hayo yote yana bebwa na kichwa kimoja lazima udate.
Nakupa homework watafute mabinti kama watano ambao,wanaofanya kazi kwenye taasisi kubwa au yoyote mwenye hela,ambao wapo kwenye mahusiano ya uchumba,waulize lini alimnunulia mpenzi wake zawadi hata ya laki moja. Then njoo kwa wanaume,uone watakavyo funguka na kuna wengine sasa hivi wanajipinda kutafuta hela wawanunulie wapenzi wao iPhone 15,wakati yy unaweza ukakuta anatumia Sumsung ya laki tano. Hapo bado kuna wanaume wamehonga,viwanja,magari,nyumba nk.Nyie jinsia yenu na wanaume mioyo yetu ni tofauti ktk kutoa kabisa.
Mwenye maamuzi ya mwisho ya kutoa Mbususu ni nani?Wanaume wa Tanzania tumetawaliwa na mambo mawili makubwa. 1. ubinafsi 2. u-mfumo dume. Yaani tunadhani sisi tuna haki ya kufanya baadhi ya mambo lakini wanawake hawaruhusiwi. Kwa mfano kuchepuka. Jambo linalolalamikiwa sana na wanaume wengi ni kuwa eti siku hizi ukioa, mke wako hakiwii kuchepuka. Hivi hao wanawake huwa wanachepuka na wanyama? Si wanachepuka na sisi wanaume? Kwa nini lawama ziende kwa wanawake wakati wanaume ndiyo chanzo? Mimi nilipokuwa na ex wangu kuna siku tulikuwa tunaamua kucheza mchezo. Yeye anatangulia mbele mimi nyuma, kama hatuko pamoja. barabarani, kwenye dala dala na bar hatukai pamoja. Nilikuwa nashangaa idadi kubwa ya wanaume waliokuwa wanam-approach, tena kwa kung'ang'ania vibaya sana. Wengi ni watu wazima wenye wake zao. Sasa ukiwa na society ya namna hii utawalaumuje wanawake? Wanaume tutulie dawa ituingie, maisha ya sasa wanawake nao wanajibu mapigo.
Ebo. Sasa wewe huwa unaomba ili unyimwe?Mwenye maamuzi ya mwisho ya kutoa Mbususu ni nani?
Mtongozaji au anaye tongozwa?
Mwanamke mwenye ndoa hajui kukataa?Ebo. Sasa wewe huwa unaomba ili unyimwe?
"Ukishindwa kumuongoza mwanamke wewe akili huna"Nakusanya madini...
Noted..[emoji3578][emoji3578]
Mpaka hapa nahitimisha kusema waziwazi
All women are devils only your mother might be good to you But she is still a devil to your father.
Binafsi nawaonaga wanawake kama wajinga wajinga hivi, Huwa sitakagi mazoea ya kijinga jinga nao.
Acha kuzingua😂 .Ujumbe huo uwaendee wote kataa kuoa,
Another petty bloated entitled brat throwing tantrums, Find someone of your league to parallel your mediocrity."Ukishindwa kumuongoza mwanamke wewe akili huna"
Ndio nyinyi mnakuja kutusumbua hapa.
Oleweni tu kabla vijora na vitambaa havijapanda beiAcha kuzingua😂 .
Bado hujasemaa😅
😬💔🚮Oleweni tu kabla vijora na vitambaa havijapanda bei
Labda niongeze kwa kujibu swali LA Binti kiziwi alivouliza wanaume tunategemea kupata nn tunapouliza wanawake Wana nini Cha kuooffer kwenye relationshipNimetumia wengi wao najua utakataa ila kiasili wanawake asilimia kubwa ni wabinafsi, hata wakiwa na hela wengi wenu hela yenu haionekani.
Mwanamke hata umuonyeshe expectations gani ila kama akiamua lake anaamua,mimi jamaa yangu aliachwa wakati akiwa kwenye process ya kupeleka barua,yule meneja wa bank akawahi kupeleka barua na akaoa.
Narudia tena wana wanaumia sababu wana gharamia sana,halafu baadae waachwa na kugongewa.
Mfano huko mbele US ndio kabisa wanaume mpaka wanapelekea kupata msongo mkubwa wa mawazo,kwani kisha yagharamikia mapenzi, baada kuachwa na bado anataka 50/50 na bado kuna allomony, haya maaumivu wanawake ya kutoa hela yenu kugharamikia mapenzi wengi wenu hamuyajui na hata kama wapo hawazidi 5%.
Kuna mzungu mmoja jimbo la Florida anaishi kwenye,gari kwanza mali zake zimepigwa pasu,pili kamlipa Alimony mkewe kiasi kinafikia USD 2m,mzee ana miaka 60+ hata ukimtizama kichwa hakipo vizuri ,anaongea mpaka analia.
Kinacho waumiza wana ni zile gharama tunazoziwekeza kwenye mapenzi na mgawanyo wa mali baada ya kuachana plus child support na ndio maana wengine hufikia hatua ya kudata na kuwa na msongo wa mawazo.Kwani anafikiria hela aliyo ipoteza baada ya kudate na baada ya mgawanyo wa mali na bado kuna hela inabidi aitafute kwa ajili ya child support na allomony (kwa nchi za ulaya),hayo yote yana bebwa na kichwa kimoja lazima udate.
Nakupa homework watafute mabinti kama watano ambao,wanaofanya kazi kwenye taasisi kubwa au yoyote mwenye hela,ambao wapo kwenye mahusiano ya uchumba,waulize lini alimnunulia mpenzi wake zawadi hata ya laki moja. Then njoo kwa wanaume,uone watakavyo funguka na kuna wengine sasa hivi wanajipinda kutafuta hela wawanunulie wapenzi wao iPhone 15,wakati yy unaweza ukakuta anatumia Sumsung ya laki tano. Hapo bado kuna wanaume wamehonga,viwanja,magari,nyumba nk.Nyie jinsia yenu na wanaume mioyo yetu ni tofauti ktk kutoa kabisa.
Mnajinasibu hivyohivyo kwamba wanawake wema bado mpo. Mkishakinai ndoa/mahusiano kuchoka kwa kuleta visa bila kujijua kama mnaleta visa.Wanawake wema tupo sana.tuna upendo tumejaa utii.
Mlichagua machaguo yenu mkaambulia makoroma huko.basi wote tumekuwa wabaya