Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Utapata wa kufanana nae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali,Umezaliwa ndani ya ndoa au? Au na wewe umelelewa na mzazi mmoja? Maana Kwa utafiti mdogo watu wenye mitazamo hasi kuhusu ndoa hawajalelewa ndani ya ndoa ila asilimia kubwa waliolelewa ndani ya ndoa wanaheshimu ndoa.Hapo vip!!
Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .
Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.
mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.
Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
Sawa na wewe tumekuunga mkuuMnakosea sehemu moja tu, Hayo ni mabadiliko ( Binadamu yoyote anaweza kubadilika mda wowote kama kuna ambavyo vitampa sababu ya kubadilika ) , Wanawake wengi wanakuja kuzingua, mara nyingi sababu zinatokana na sisi wenyewe wanaume...
Mtu akupende miaka 20 gafla tu anakuja kukutenda tu bila sababu ??? Sababu za kufanya hivyo ni wewe man, tatizo sisi tunapuuza sanaa hizi sababu yani kuna mambo tunachukulia simple mpaka yakufike na lawama zote unampa aliekutenda wakati sababu ni wewe
SWALI: Maana yake ni nini Bwana anaposema (Mathayo 19) “Maana wako 1.MATOWASHI-waliozaliwa hali hiyo toka MATUMBONI MWA MAMA ZAO; Tena wakoHapo vip!!
Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .
Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.
mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.
Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
kushindwa kumsimamia mwanamke ni udhaifu ambao unakutambulisha kuwa wewe ni mtu wa hovyoHapo vip!!
Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .
Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.
mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.
Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
NAKAZIANaam KATAA NDOA KIJANA NI UTAPELI MKUBWA bora umejitambua
Unajua maana ya mapenzi uchizi lakini? Yaani mpenzi wako anakuwa chizi kwa mpenzi wake mwingine tofauti na wewe.Kwan sisi wenyew wanaume tuna tabia nzuri??
LOVE IS NOT ABOUT FINDING THE RIGHT PERSON, LOVE IS ABOUT BECOMING THE RIGHT PERSON, ONCE YOU BECOME THE IDEAL YOU, THE RIGHT PEOPLE WILL AUTOMATICALLY GRAVITATE TOWARDS YOU.
Siku utakapo elewa hii sentensi hutaumiza kichwa tena kuhusu mapenzi.
Huyo sio wako, break up and move on.Unajua maana ya mapenzi uchizi lakini? Yaani mpenzi wako anakuwa chizi kwa mpenzi wake mwingine tofauti na wewe.
Sasa mkuu,unawezaje kuwa mwaminifu kwa mtu wa aina hyo?
UmenenaWanawake wema tupo sana.tuna upendo tumejaa utii.
Mlichagua machaguo yenu mkaambulia makoroma huko.basi wote tumekuwa wabaya
NAKAZIANaam KATAA NDOA KIJANA NI UTAPELI MKUBWA bora umejitambua
Ina maana mtu akiweza kumsimamia mtu mmoja ndio ataweza kusimamia nchi nzima na si kinyume chake 🤔kushindwa kumsimamia mwanamke ni udhaifu ambao unakutambulisha kuwa wewe ni mtu wa hovyo
ndo maana baadhi ya vyeo vinahitaji mtu aliye oa
Kama unashindwa kusimamia mtu mmoja utawezaje kusimamia kampuni au nchi
Omba tukupe mbinu lakini siyo kutuambia ujingaujinga
kama hujatendwa tulia na ushukuru Mungu na uombe sana mkeo asikuasi, akikusaliti hakuna rangi utaacha kuona, maji utayaita ma...Kuumizwa kwako sio ndio uanze kutushangaa tunaopenda inawezekana wewe kwenye mapenzi au mahusiano kiujumla ni FUNGU LA KUKOSA.
Ujue kitu kinacho waumaga sana wana ni zile ghrama za kumtunza mwanamke, sometimes unajinyima ili kumtimizia mahitaji yake muhimu. Halafu kuna mpuuzi mmoja yy anakula bila kutoa mbuni.Jaribu kuoa mwanaume utaenjoy sana.
Nashindwa kuelewa kwa dunia ilipo hapa wengi mmeharibikiwa kwanini mwanamke ndio abebe lawama pekeyake? Yaani wanaume mnavyojielezea humu kama malaika vile as if tumezaliwa jana hatuwajui wanaume 😂
Eve weee, babe ahadi ya Mloganzila nahitaji itimiza week Hii.Tafuta hela mapenzi ni matamu kuliko hata asali