Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyo kitabia naona ni bora kubaki bila kuoa

Kwan sisi wenyew wanaume tuna tabia nzuri??

LOVE IS NOT ABOUT FINDING THE RIGHT PERSON, LOVE IS ABOUT BECOMING THE RIGHT PERSON, ONCE YOU BECOME THE IDEAL YOU, THE RIGHT PEOPLE WILL AUTOMATICALLY GRAVITATE TOWARDS YOU.

Siku utakapo elewa hii sentensi hutaumiza kichwa tena kuhusu mapenzi.
Kabisa Mkuu, ila ukiingia kichwakichwa unaweza kupata majanga hata kama wewe upo vizuri kitabia.

Hayana Formula.
 
Hapo vip!!

Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .

Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.

mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.

Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
Mkuu kaoe kijijini, wale hawana mambo mengi..akila akishiba yeye ni kuangalia Tamthilia ITV na Azam anakusubiria urudi home.
 
Uko sahihi ila female narcissist ni wengi mno. Na wanaoteseka ni wanaume wanaoishi maisha ya maadili kiduniani wanamuita beta male.
Most of women sio wote wanajaribu kuforce wewe eidha ucheat na wanawake wengine kama uko dhaifu ambapo wao wanautafsiri ni uanaume directly. Maandiko Matakatifu yanauita udhaifu. Godly women wapo na hawa hakikisha amelelewa na wazazi wawili ambapo baba yake alikuwa na Mamlaka kwenye familia. Kama baba yake hakuwa na sauti, piga chini.
Umeongea vizuri...
 
Mimi nilikuwa najiona mwenye bahati sana kwenye mapenzi na mke wangu kabla ya kugundua yaliyojificha, ndoa ikavunjika.nami sina imani kabisa na wanawake ingawa nina mahusiano kadhaa kwa ajili ya kuweka mwili sawa.

Sasa ninavyolipiza kisasi kwa wake za watu kwakweli Mungu anisamehe tu jinsi ninavyowafanya.
Miingoni mwao ni watu wenye ndoa zenye hadhi na heshima kiasi kwamba nikikutana nao barabarani wameongozana na waume zao nabaki kujisemea " daah!".
Usijidanganye kumuamini mwanamke/ mwanaume wako kwa 100%. Ni kosa kubwa mno.
 
Hapo vip!!

Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .

Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.

mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.

Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
Kwa sababu ya kwako yamekushinda kwahiyo unaona kwa wenzio ni ushambaa?? Ulijaribu kuoa yakakushinda kwa lugha nyepesi ulifeli kama wengine wanavyofeli kwenywe mitihani yao, hiyo uliyoiwaza ni plan B baada ya plan A kufeli et kuzaa ulee bado huyo utakayezaa naye kwa hatua za mwanzo itakubidi umuonyeshe upendo kwanza ndipo akubali kuzaa na wewe. Kwa mtazamo wangu nadhani ungewaheshimu walioweza ulichoshindwa kuliko kuwaona washamba wakat wewe ulipigwa na kitu kizito uka give up
 
Mkuu kaoe kijijini, wale hawana mambo mengi..akila akishiba yeye ni kuangalia Tamthilia ITV na Azam anakusubiria urudi home.
Wapo pia wanaodhani kuoa bikra inasaidia..
Ndio inasaidia miaka ya mwanzoni, sasa basi akianza kuchoka na kupata stori za wanawake wenzie kuhusu kuchepuka na ikawa amechepuka akapewa mboro tamu haki hakuna rangi utaacha kuona .. hubadilika na kuwa watoto wa shetani.
 
Kwa sababu wewe yamekushinda, tuache sie tuendelee kulisongesha mkuu.

Experience yako na ya yule haziwezi kufanana na kila mtu ana njia yake ya maisha.

Pamoja na mapungufu ya mmoja mmoja, nothing comes closer to a marriage, ile ni taasisi na lazima iheshimike.
 
Sema nini?.... kuna ka "dark side" , kuna kale ka upande ka " mambo meusi " ambayo huwa siri na huyajui kuhusu wenza wetu hii hufanya taasisi ya ndoa kuonekana ni imara kwa asilimia fulani, lakini kama tukiyajua yote kuhusu wenza wetu hiyo taasisi hakuna mtu ataweza kukaa, you better don't know.
 
Mimi nilikuwa najiona mwenye bahati sana kwenye mapenzi na mke wangu kabla ya kugundua yaliyojificha, ndoa ikavunjika.nami sina imani kabisa na wanawake ingawa nina mahusiano kadhaa kwa ajili ya kuweka mwili sawa.

Sasa ninavyolipiza kisasi kwa wake za watu kwakweli Mungu anisamehe tu jinsi ninavyowafanya.
Miingoni mwao ni watu wenye ndoa zenye hadhi na heshima kiasi kwamba nikikutana nao barabarani wameongozana na waume zao nabaki kujisemea " daah!".
Usijidanganye kumuamini mwanamke/ mwanaume wako kwa 100%. Ni kosa kubwa mno.
Kuna jamaa mmoja jana kwenye uzi kajitapata eti way hawapitii michakato sahihi wakati wa kuoa alimaanisha yy ana mke wa maana. Mwanamke sio kitu cha kukipa imani yako hata 1% mwanamke anaweza kuwa mwema kwa miaka zaidi ya 20 target zikikaa sawa utajuta
 
Hapo vip!!

Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyokitabia naona ni bora kubaki bila kuoa .

Lakini pia nilijaribu kuoa mwaka fulani ikanishinda baada ya kumtambulisha mwanamke mmoja yakatoa ya kutoa kea nikanyoosha mikono.

mimi naona furaha kubwa ni kuishi mwenyewe na kutafuta pesa na kuwatunza watoto wako kama umeweza kuzaa nje.

Sikuhizi nikimuona mwanaume anayesema anampenda mwanamke namshanga..yaani anaweza je kupenda.. naona kumpenda mwanamke ni ushamba na kutokujitambua.
skiza kijana achana na fikra izo potovu.

ukiwa na nia thabiti na ukamtanguliza Mungu, unaweza mtafuta mwanamke wa aina yeyote ile. Ukamuhudumia na kumkarabati vilivyo kwa hali na mali, kiroho na kimwili kadiri utakavyo wewe awe au afanane na ukafurahia mno maisha yako yote, kwa raha na amani, mpaka ukahisi umechelewa kumpata.

Ile muhimu tu, usichochewe na taamaa za mwilini au fedha bali upendo wa dhata wenye Mungu ndani yake.

Na Mwenyezi Mungu akubariki sana..
Aimen 🙏.
 
Asilimia kubwa ya wanawake huwa watii, wema, wanyenyekevu, romantic, wanajari, si wabinafi KAMA TU HANA PLAN B. Siku akiwa na plan B ndio utaanza sikia wewe si lolote, hunibabaishi, kwani mwanaume ni ww peke yako nk. Mwanamke anaweza kujiweka kwa mwanaume ili amlelee wanae hata kwa zaidi ya miaka 20, wakikua wakajipata anakunyea mavi akiamini watoto watamtetea na kumtunza.

Siwapendi wanawake, msiniulize kuhusu mama yangu, ninayoyasema nimeyaona nyumbani kwetu na mama aliyenizaa.
 
Sema nini?.... kuna ka "dark side" , kuna kale ka upande ka " mambo meusi " ambayo huwa siri na huyajui kuhusu wenza wetu hii hufanya taasisi ya ndoa kuonekana ni imara kwa asilimia fulani, lakini kama tukiyajua yote kuhusu wenza wetu hiyo taasisi hakuna mtu ataweza kukaa, you better don't know.
Hilo lipo wazi mkuu, kuna vingine vinabaki kuwa siri na inabidi usivijue ili uzidi kuishi kwa amani ndani ya ndoa.
 
Asilimia kubwa ya wanawake huwa watii, wema, wanyenyekevu, romantic, wanajari, si wabinafi KAMA TU HANA PLAN B. Siku akiwa na plan B ndio utaanza sikia wewe si lolote, hunibabaishi, kwani mwanaume ni ww peke yako nk. Mwanamke anaweza kujiweka kwa mwanaume ili amlelee wanae hata kwa zaidi ya miaka 20, wakikua wakajipata anakunyea mavi akiamini watoto watamtetea na kumtunza.

Siwapendi wanawake, msiniulize kuhusu mama yangu, ninayoyasema nimeyaona nyumbani kwetu na mama aliyenizaa.
Kama vitabu vya imani tu vinatuambia tutumie akili zaidi kuishi nao, unadhani ukiwachekea kidogo tu litakukumba nini, hutakiwi kuacha akili zako hata nusu saa ukiwa na hawa viumbe.
 
Back
Top Bottom