Kweli kabisa lakini Kuna muda mm Kama kijana natamani niwe kwenye mahusiano lakini Kila nikijitahid kumfuata msichana nimpendae ndo ivo wengne dharau nying
Auko peke yako umewakilisha asilimia Kama siyo 60 basi ni 55 ya vijana wakitaa
Angalia Kwanza muonekano wako Kama nimtu wa shati na suruali za vitambaa tafuta madem wanao vaa gauni au sketi za vitenge alafu wasiwe wanatumia smart phone ..
Kama nimtu wa midosho Kama t shirt na jeans tracks na soksi kwenye kobasi .. Bas tafuta madem wauswahilini ..
Kama wew nimtu wakupiga zile classic au tunaitaga official Yan kadet chini monka na shati suti kidogo au jeans na shati .. Bas unaweza tongoza yeyote inategemea tu na confidence utakayo iyonyesha kwao ..
Alafu kingine kutongoza kwa sikuizi hii yakukutana tu njiani unaomba namba hua Maranyingi aipo real Sana .. unaweza kusanya ata namba 3 au 4 zamadem kwasiku na bado usiambulie chochote
Madem wengi hupenda ku date na mtu ambae wamesha kutana Mara kadhaa aidha kwenye ma event Kama seminar .. church, harusini , ata ikiwa kitaa ila muwe tayari mmesha fanya zile high contact .. Yan lazima kuwe namna flan yakukuzoa japo siyo Sana ..
kwasababu .. imagine unachukua namba za mtu ambae kwenye sim yake Ana namba za wanaume wasiyo pungua 10 kati yao Kuna schoolmates zake Kuna walio kua nae enzi za utoto .. Kuna namba ya poti au ya mangi .Kuna number za mabaharia waicho kitaa anacho ishi..nk
sasa inakuja number yako ambayo ndo Kwanza inatafuta nafasi .. Apo ndipo kunamtiani .. ndo mana kwakuona Ni usumbufu unahmbulia kupigwa mizinga mitatu mimne .. ukikata tamaa ndo inakua imeisha iyo ..
Wengi wanasema tafuta pesa Ni sawa kunawatu walizitafuta pesa adi wakafa na awakuzipata ..kumbukeni upweke Ni mbaya Sana pia mwanamke uleta morari yakumfanya mwanaume achakarike .. unatoka mishe .. no SMS no one to call unaamua kuzurula kidogo usiku unarudi unaoga unalala kesho Tena ivyo ivyo what a boredom world !!!
Sent from my Infinix X624 using
JamiiForums mobile app