Ngunichile
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 356
- 522
Mwenzenu na mwaka wa nne sasa hivi. Kila msichana ninayemfuata mimi hajawahi kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau sana halafu wasichana ninaowafuata ni wakawaida mno. Mwanzoni niliona kawaida ila sasa hivi naona kama ni tatizo.
Naomba ushauri wenu.
Kwahiyo we kila demu anakukubali?Mimi sielewagi kabisa mtu anayesema anakataliwa na madem
Iongezee uboldT A F U T A P E S A
Hahaha waliomzidi kivipi? Na ana masharti mengi kivipi?Tatizo wewe unamashart mengi na uache kupenda waliokuzidi viwango
Ndioo kwa natongoza level zangu na hawachomoi ..[emoji23][emoji23]Kwahiyo we kila demu anakukubali?
HahahahahaNdioo kwa natongoza level zangu na hawachomoi ..[emoji23][emoji23]
HaahaahaaHuwa unapiga mswaki kweli brother?
Yawezekana tatizo likawa linaanzia hapo "kinywa".Haahaahaa
Hapa hapa dsm ,Kwanza dsm hakuna demu wa kutongoza akakukatalia ,labda uwe Domo zege tu...Hahahahaha
Hao mademu wa wapi?
AhaaaahaaahaaaHapa hapa dsm ,Kwanza dsm hakuna demu wa kutongoza akakukatalia ,labda uwe Domo zege tu...
Demu namnunulia big boom ya Mia mbili ,cheni ya buku manzese ,bikin ya buku ya maua ....namfungia kwenye box ,namuita ninazawadi yako ...
Mademu wakisikia zawadi ,hawakatai ,namshushia na chpsi yai .,baada ya hapo ni mpaka getoooo
Jambo gani hilo mkuu? Sema wapone wengi, huyu ni miongoni mwa wengi ambao wamejificha wakiona aibu kueleza shida hii hadharani!Tatizo lako ni kubwa sana ila linasababishwa na jambo dogo sana.
Level zako ni zipi??Ndioo kwa natongoza level zangu na hawachomoi ..[emoji23][emoji23]
Mpaka nimwone ,ndio najua level ...Level zako ni zipi??
Unaonekana unahonga sana na huwa unatanguliza pesa kwenye kutongoza. Unafeli sana!Mpaka nimwone ,ndio najua level ...
Hehehe kusimuliana lazima maana na wao wanatusimulia sana ajipange tuLabda unatumia same strategy afu mtaa huo huo.
Siku hizi wadada wamekuwa na mbinu eti na wao wanahadisiana.
Unakuta kabisa Dinazarde anamhadisia Hornet afu huna maajabu mbinu ile ile waje wakutane saluni wamhadisie na cariha humo na yeye amuambie Mzigua90 hapo lazima ule wa chuya.
Hebu jiweke msafi nukia tembea kiume kwa kujitanua kidogo then nenda mtaa wa mbali huko njoo na pisi kali uwarushe roho kidogo.
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπππ
Hahaaa Mimi no swaga tuuUnaonekana unahonga sana na huwa unatanguliza pesa kwenye kutongoza. Unafeli sana!