koroberaga rakuu
Senior Member
- Jan 4, 2017
- 113
- 65
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu wanafanya makusudi,sio kwamba ni wapuuzi kiasi hicho!Mkuu Bome-e,kuna kipindi nilikutana na mama mmoja huko Dodoma,akanisimulia kuhusu mtoto wake alivyo mpumbavu. Kwa ufupi alisema kuna wamama hawajifungui bali "wanatoa uchafu toka tumboni". Sasa kwa kweli nimeamini kuwa kuna "uchafu hutolewa toka tumboni".
Mh...Anguko la Magufuli laja hata kabla ya october
Walipoungana na ACCACIA walifeli.
Maandamano ya ukuta yalifeli
Walipoanzisha uchafuzi kibiti na amboni Tanga walifeli
Walipoanzisha agenda ya nchi kutotawalika walifeli
Walipoanzisha scandal ya Kupigwa blancons yule wa Ubeligiji ili kuleta taharuki na kuhamasisha fujo walifeli
Hoja yao ya kusema kuwa kuna udikteta Tanzania imejidhihitisha wakati wa Corona kuwa Tanzania Rais wake si tu kwamba ana huruma pia ni mcha MUNGU
Wakaanzisha Sera ya kuzizuia ndege kwa hoja za madeni wamekwama
Wakaenda kuzuia mkopo Bank ya Dunia wamekwama
Cha muhimu ni ukweli wa hoja yake hayo ya vyeo ni nafsi za watu kuongozwa na unyonge au wivu.Wa hoja ya u nesi keshakuwa waziri buni na wewe ta kwako unaweza ukwaa hata u IGP maana hata mkuu anajua huo ni dili la haja!
Walipoungana na ACCACIA walifeli.
Maandamano ya ukuta yalifeli
Walipoanzisha uchafuzi kibiti na amboni Tanga walifeli
Walipoanzisha agenda ya nchi kutotawalika walifeli
Walipoanzisha scandal ya Kupigwa blancons yule wa Ubeligiji ili kuleta taharuki na kuhamasisha fujo walifeli
Hoja yao ya kusema kuwa kuna udikteta Tanzania imejidhihitisha wakati wa Corona kuwa Tanzania Rais wake si tu kwamba ana huruma pia ni mcha MUNGU
Wakaanzisha Sera ya kuzizuia ndege kwa hoja za madeni wamekwama
Wakaenda kuzuia mkopo Bank ya Dunia wamekwama
Tamka na wewe mkuu upate ukuu wa mkoa au wilaya.Na ukitamka tuu kuwa Rais sio NESI unalamba uwaziri kabla ya aliyekufa hajazikwa. Hivyo ndugu yangu Phillipo Bukililo umetamka nawe sasa hivi subiri utalamba uteuzi akidondoka mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha muhimu ni ukweli wa hoja yake hayo ya vyeo ni nafsi za watu kuongozwa na unyonge au wivu.
Amiri jeshi mkuu hata akiwa chumbani kwake anapolala anaongoza mapambano. Neno lake akiwa popote pale ni agizo.
Unamkejeli Mzee Baba?Halali usingizi kwa jinsi COVID-19 inavyomtesa,inamalizia change kidogo ya tulichokopa na hakuna dalili ya kuisha haka kaugonjwa.Walipoungana na ACCACIA walifeli.
Maandamano ya ukuta yalifeli
Walipoanzisha uchafuzi kibiti na amboni Tanga walifeli
Walipoanzisha agenda ya nchi kutotawalika walifeli
Walipoanzisha scandal ya Kupigwa blancons yule wa Ubeligiji ili kuleta taharuki na kuhamasisha fujo walifeli
Hoja yao ya kusema kuwa kuna udikteta Tanzania imejidhihitisha wakati wa Corona kuwa Tanzania Rais wake si tu kwamba ana huruma pia ni mcha MUNGU
Wakaanzisha Sera ya kuzizuia ndege kwa hoja za madeni wamekwama
Wakaenda kuzuia mkopo Bank ya Dunia wamekwama
Kabda mtumie maded.
Sidhani kama kutakuwa na haja kwani litakuwa la waziAkaianguka ni tag
Kuna mawaziri wenye kufanya hizo kazi za kutembelea vituo vya wagonjwa.Mkuu kuna command center na command posts. Unaonaje huyu?
View attachment 1438365
Hatuwezi kujipanga zaidi kuokoa maisha kuliko kujalia siasa tu?
haya ni maneno ya hekima nimejiuliza unamwambia nani? unamwambia mtoa mada? nimepambana kuelewa nimetoka bila bila! pliz fafanua ukipenda!! ukiadmit bias wewe ni timu ufipa nitaelewa!Ni haki yako kukichukia chama au mtu na uko sawa kabisa,ila in the process usishushe heshima na hadhi yako kwa kiwango hiki!Huku ni kumdhalilisha hata aliyekuumba na kukupa akili timamu!Kuwa objective na acha fitna na majungu yasiyo na maana!
Endelea kuotaAnguko la Magufuli laja hata kabla ya october
Vipi mkuu leo mmepima mafenesi mangapj kama yameathirika na korona?Ni kawaida yao kufeli.