Kuna mawaziri wenye kufanya hizo kazi za kutembelea vituo vya wagonjwa.
Rais anafanya kazi kwa ratiba anayoifahamu yeye sio tunaoifahamu mimi na wewe.
Yule ni rais wa nchi sio admin wa group la whatsapp.
Mkuu unaridhika na hawa mawaziri wanachokifanya kuhusu Corona?
Hii kujifukiza, maombezi na hizi takwimu za kubumba?
Au ndiyo maagizo yake na hawa mawaziri ni wahanga wake tu?
Wewe unaongelea admin wa WhatsApp? Tunaongelea vita tena kubwa kuliko ya vita vikuu vya pili vya dunia.
Ama kweli tuko na mitizamo tofauti. Kama kumbe wengine tunaongelea magroup ya WhatsApp.
Yale yale ya mnara wa Babel.
What a contrast.