Kila Rais wa Tanzania alipoondoka aliacha nini kwa awamu iliyomfatia?

Nyerere katuachia umoja wa kitaifa na nationalism.
 
Uzi wako wote umejikita na Nyerere tu,
Nyerere ndio rejea ya uongozi uliotukuka nchi hii na ndiye baba wa taifa hili. Chuki zako kwake ni bure na kupoteza muda tu.
 
Jikite katika uzi kwa ujumla wake badala ya kumshambulia kwa sababu zako binafsi baba wa taifa lako, mwl Julius Nyerere.
 
Mkapa
Katuachia
1. Mashirika ya serikali yenye ufanisi na yasiyo na ufanisi
2. Mikataba mibovu ya madini
3. Hotuba ya raisi kila mwisho wa mwezi
4. Daraja la mkapa na uwanja wa taifa n.k

Kikwete
Katuachia
1. Shule nyingi za kama
2. Ujenzi wa barabara kuunganisha mikoa na wilaya
3. Richmond na iptl
4. Ubinafsishaji wa gesi ya mtwara
5. Pesa za mboga
6. Waziri mkuu kujiuzuru
7. Uhuru wa kujieleza
8. Kupeana kazi kwa kujuanana

Magufuli
Katuachia
1. Mradi wa SGR
2. Bwawa la nyerere
3. Masoko ya madini hasa dhahabu
4. Masoko kila mkoa
5. Stendi za mikoa
6.hospital za kanda na rufaa na mikoa
7. Kuheshimu kila mtu bila kumjua
8. Mfumo wa malipo wa serikali
9. Umeme muda wote na kuunganishwa kwa bei chee
10. Ndege za serikali
11. Kubana matumizi ya serikali
12. Marekebisho mikataba ya madini
13. Baraka la mawaziri la wachapakazi
14. Ikulu ya Dodoma
15. Kupambana na propaganda za cover 19
N.k
 
Nyerere alituachia CCM na katiba ya kifalme.

Hilo ndiyo kubwa zaidi

Hao wengine na mambo yao ni matokeo tu.
 
Y
Ma shaa Allah, wewe hata usome upindukie huwezi kabisa kushindana, kwa lolote, na mwanafunzi aliyepata hijaza ya Ustadh wake wa madrassa.

Kumbuka hilo.
Yeah siwezi kushindana nao kabsa. Yaan how comes mtu unaomba tende arabuni na unaiomba serikali isitoze kodi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€huhuhuhuh a. aah sorry madam president ah tunaomba sirikali itulete darubin ya kuangalia mwezi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Awamu ya 5 ndio pekee ya kutolewa mfano wa mengi mazuri yanayoonekana.
 

Kinachoshangaza ni hizi nguvu unazotumia kutaka kuhalalisha uongo. Kwahiyo reli wachukue wajerumani, migodi wachukue wajerumani, watumwa kama nyinyi muende kwa waarabu pamoja na bandari ya Bagamoyo etc

Kinachotoa faraja ni kuwa Mwenyezi Mungu hawezi kumpa mnafiki anachotaka. Mtu mnafiki lazima ataumbuka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…