Kila Rais wa Tanzania alipoondoka aliacha nini kwa awamu iliyomfatia?

Kila Rais wa Tanzania alipoondoka aliacha nini kwa awamu iliyomfatia?

Hawa akina Faiza fox ni well trained my friends !! Huyu anauwezo wa kuua hoja in a minute !! kwahyo unapodeal nae kuwa na facts za kumpinga. Huyu hayupo bure uku kama wengi wetu . Nimefatilia nikagundua kwamba nearly 75+% mada zake na michango yake nying ni politics na ni wa upande mmoja. Pia nimegundua kwamba ametoa maoni na positive crédits kwa asilimia 100% kwa Marais wa upande mmoja !! . Pia katika mabishano ya hoja karibu asilimia 80%+ amekuwa akiwin(well trained) narudia tena amekuwa trained sana kwenye eneo hili anaua hoja zinazokinzana na marais mwinyi, kikwete na maza house mlieni tyming mtaona
Nachoongea ni facts kwa ushahidi kabisa.

Hiyo kuwa well trained, nnakuhakikishia sote tuliosoma madrassa utatushangaa.

Indeed we are well trained, kuwa wakweli. Hatumsingizii mtu kitu na hatukisii kabisa.

Tusilolijuwa tutakaa kimya tutafute facts.
 
Ah wee !! Akili za madrasa tunazijua acha uongo
 
Naona mjadala unataka kuwa wa kidini!
 
Kichwa cha habari kimeeleweka.

Kwa faida ya wengi, waliokuwepo na wasiokuwepo awamu zilizopita. kila mmoja wetu ana mtazamo wake tofauti na wa mwengine, tujadili mafanikio na madudu ya awamu zilizopita.

Binafsi nashukuru, nimeziishi awamu kadhaa za Tanganyika kuanzia tupo utawala wa Muingereza chini ya Umoja wa Mataifa.

Naikumbuka Tanganyika ya Muingereza kwa mbali, naikumbuka Tanganyika ya utawala wa Nyerere kwa ukaribu zaidi.

Kwa kuwa viongozi waliotuongoza ni wanaadam kama sisi, hawakosi mema yao na mapungufu yao, tuyajadili waliotuwachia.

Hata kama hukuwepo na umeyasoma au umehadithiwa tu, rukhsa kuyaleta ili tuchekeche na tuchambuwe mchele, chenga na chuya.

Bila kufahamu wapi tulipotoka na wapi tupo itakuwa vigumu kuelewa wapi tunaelekea.

Tujadili.
Shujaa alituachia bwawa la umeme, sgr, busisi bridge na kukafyekelea mbali kale kakikundi ka upigaj!!!
 
Hapana, si kweli nilikuwepo.

Nyerere aliiacha Tanzania ikiwa ni nchi ya mwisho kwa umasikini duniani. Aliiwacha hata chakula inabidi tukae foleni, wakati yeye aliipokea kwa Mkoloni ikiwa ni nchi ya kwanza katika Afrika inayosfirisha mazao ya kilimo.

Unajuwa kuwa Tanzania Nyerere alituwacha chakula hatuna, mafuta hatuna, akiba benki hatuna.

Umri wa kutenegemea kuishi mtanzania(life expectancy) wakati wa nyerere ulikuwa haufiki miaka 45.

Yule mzee usisikie anavyopambwa, alituwachia na mabalaa ya kila kitu Kawacha nchi foleni kila kitu foleni.

Kwa mtazamo wangu, Nyerere hakuwa na baraka za Mwenyezi Mungu kabisa katika kipindi chake. Majanga mwanzo mwisho.

Naamini huwezi kudhulumu watu Mwenyezi Mungu akakubariki.
Katuachia Muungano wa changu Chetu, chako chako[emoji56][emoji56]
Kanyang'anya Matajiri kawapa Masikini, woote tajiri na Masikini Wakawa Masikini[emoji134][emoji134]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Ah wee !! Akili za madrasa tunazijua acha uongo
Ma shaa Allah, wewe hata usome upindukie huwezi kabisa kushindana, kwa lolote, na mwanafunzi aliyepata hijaza ya Ustadh wake wa madrassa.

Kumbuka hilo.
 
Ma shaa Allah, wewe hata usome upindukie huwezi kabisa kushindana, kwa lolote, na mwanafunzi aliyepata hijaza ya Ustadh wake wa madrassa.

Kumbuka hilo.
DP World wanaanza lini kazi Bandarini?
Nina Shahada ya Uzamili Elimu ya Bandari na usafirishaji Baharini.
Naomba uniombee kazi kwa DP World.
 
Kwa mtizamo wangu. Hakuna Rais aliyekuwa mzur kama Nyerere na hakuna Rais aliyechemka vibaya kama yeye. Matatizo yote ya nchi hii ni matunda ya mfumo aliouacha Nyerere. Alikuwa dhaifu sana japo ndie aliyekuwa msomi kuliko Marais wengi wa kanda hii. Nikipata muda nitalielezea hili. Japo alikuwa na mazur yake. Kwangu Mimi kipind cha pili cha utawala Nyerere alipaswa kumuachia Dr Salim Ahmed Salim sio Mwinyi. Mwinyi hakuna kitu. Mkapa alikuwa mzuri sana japo kuna madhaifu flan lakin haiondoi ukweli aliiset nchi ikakaa kwenye mifumo thabit. Kikwete hakuna kitu Magufuli alikuwa mzuri japo aliruhusu wasukuma wenzie wamharibie. Magufuli angekuwa mzuri zaid kama angechukua nchi wakati Mkapa anaondoka. Mkapa alilipa sana maden ikafikia mahali mpaka nchi ikasamehewa madeni. Wakati anaondoka aliiacha hazina imejaa full. Kikwete akaja kugawa na wenzie eti milion 50 kila Kijiji. Wanaume wakazipiga. Huyu Mama Bado tunamsoma ila mi binafsi kanitoka kabisa hili la bandari. Ckutegemea kama angekuwa na ujasir wa kuigawa bure. All in all system yetu imekamatwa na watu wapigaji kias kwamba haiwez tena kuandaa viongoz wenye vision na nchi hii. Tunaish bora liende.
 
SGR , Airports na kununua ndege , barabara nyingi ikiwemo ya kwenda kwangu nyumbani ifakara , sema ujuaji na kichwa ndo zilikuwa hinderance kubwa kwake , yule jamaa angejua kutuliza kichwa askize maoni angefanya mengi ndani ya miaka mitano
Angeskiliza maoni ya wapuuzi asingefanya hata nusu ya hayo aliyoyafanya.
 
Bila kujali maudhui ya mleta mada, na bila ya mantikibau mtiririko maalum nasema;

Bila Uchaguzi mkuu na kuchaguliwa inaniwia vigumu kuweka awamu hii kama inavyoandikwa na baadhi ya watu[ya kwanza, ya tatu n.k n.k]. Itoshe kusema, Serikali hii iliyopo madarakani ni Serikali Mbovu na Ovu ambayo imeshawahi kutokea katika Ukanda huu wa kusini mwa sahara.
Uovu unaofanyiwa Wamaasai ni sawa na Uangamizaji-ni Genocide!
Vilevile, ni Serikali pekee inayokumbatia Ukoloni mamboleo, aidha kwa makusudi au kwa kujiondoa ufahamu.
Kwa hayo, nina uhakika, Serikali hii itatuacha Watanzania /Watanganyika tukiwa tumesha wekwa rehani kwa Waarabu.

Amani iwafikie.

Aluta Continua.
 
Kichwa cha habari kimeeleweka.

Kwa faida ya wengi, waliokuwepo na wasiokuwepo awamu zilizopita. kila mmoja wetu ana mtazamo wake tofauti na wa mwengine, tujadili mafanikio na madudu ya awamu zilizopita.

Binafsi nashukuru, nimeziishi awamu kadhaa za Tanganyika kuanzia tupo utawala wa Muingereza chini ya Umoja wa Mataifa.

Naikumbuka Tanganyika ya Muingereza kwa mbali, naikumbuka Tanganyika ya utawala wa Nyerere kwa ukaribu zaidi.

Kwa kuwa viongozi waliotuongoza ni wanaadam kama sisi, hawakosi mema yao na mapungufu yao, tuyajadili waliotuwachia.

Hata kama hukuwepo na umeyasoma au umehadithiwa tu, rukhsa kuyaleta ili tuchekeche na tuchambuwe mchele, chenga na chuya.

Bila kufahamu wapi tulipotoka na wapi tupo itakuwa vigumu kuelewa wapi tunaelekea.

Tujadili.
Wewe umeacha nini kwenye familia yako.
Au ndio uko huko uliko olewa unakula Bata tu.
Huna habari tena na familia yako
 
SGR aliukuta mradi upo tayari, alichofanya yeye ni kupiga chini Wachina waliokuwa wauanzishe na kuwaleta Waturuki. Ushahidi:

Mradi wa kuifufua ATC pia ulikuwa tayar on ythe pipelinei, Kikwete alishatembelea mpaka Boeing na Canada ili zianze kuletwa. Hii ni miradi amabayo Magufuli kaikuta na kaondoka bila kuimalizia, kwa ujuwaji wake. Ushahidi:

Kwa ushahidi huo, wa hapahapa JF, mwendazsake hakuanzisha miradi ya SGR na Ndege. Aliianzisha Kikwete.
Kikwete ni mswazi yule mtu wa porojo nyiiingi hawezi anzisha kitu tangible, Jiwe pamoja na madudu yake alikuwa na uthubutu usio wa kawaida...ktk hili amewazidi marais wooote waliotutawala!.
 
ATC ilifufuliwa na Hayati JPM tuwe wakweli na tumpe maua yake kwa maamuzi magumu aliyokuwa akiyafanya katika awamu yake.

Ndege zilipoanza kumiminika hapa bongo kina Zitto Kabwe wakaanza kusema zimenunuliwa bila ya bunge kujadili juu ya manunuzi yake!.

Hamza Johari alisimamia michakato yote ya ufufuaji wa shirika la ndege, akawa anakwenda kusaini mikataba ya ufunguaji wa masoko kati ya Tanzania na mataifa hayo kabla hata hizi ndege hazijaanza kwenda huko.
 
Kikwete ni mswazi yule mtu wa porojo nyiiingi hawezi anzisha kitu tangible, Jiwe pamoja na madudu yake alikuwa na uthubutu usio wa kawaida...ktk hili amewazidi marais wooote waliotutawala!.
Usilolijuwa ni usiku wakiza, sababu ya Kikwete alitaka jiwe awepo pale kwnye Urais Kikwete aliamini mwendazake atatimiza aliyoanzisha Kikwete kwa vitendo, mwendazake hakuwa na ubunifu hata chembe, ni msimamizi lakini si mbunifu. Hakuna mradi aliouanzisha kwa ubunifu wake yeye. Kwa ushahidi kabisa.
 
Wewe umeacha nini kwenye familia yako.
Au ndio uko huko uliko olewa unakula Bata tu.
Huna habari tena na familia yako
AlhamduliLlah, mimi Muislam, sina cha kumwachia mtu zaidi ya atakachinijaalia Allah. Kumbuka hilo.
 
Back
Top Bottom