Kila siku Najiuliza Sipati Jibu

Watu wengine bwana, kwani lazima uanzishe thread?? Wakati mwingine kama huna kitu cha maana unatulia na kusoma threads za wenzio.

Mkuu, kwanini watu wanakwenda kuogelea kwenye masweeming pool, ziwani au baharini halafu wanakuja kuoga tena nyumbani, au kwanini mtu anakwenda bar wakati friji yake ina vinywaji almost vyote na kwanini thread unayoiona haina maana (ww) imechangiwa na member wa kutosha tu ukiwemo wewe? ukipata majibu sahihi utarudi tena Karibu

Dear mpotezee hujaona mie nimemgongea thanx na kwenda zangu. Mpotezee plz

Dena Amsi! Mmh ukija huku kwe2 unawakuta wataalam wa kukubembeleza sikiliza.
Mayo wane zogho shii,cho!zogho twibwone mkaya,nakwambeleje kozuura ngwada?olyaga hene?bac hapo full kuuma vidole unajua wasukuma wanajua kulea hasa ukiwa mweupe

Dear mpotezee hujaona mie nimemgongea thanx na kwenda zangu. Mpotezee plz

Si utani anataka kutuharibia giza la leo... ntafutie tenda basi Wapigangoma ninao, wanenguaji ninao (tena micharuko hiyo) ha ha haaaa!

Sitakuangusha ktk hilo

we mbona mnaweka upukurupukuru jamani, halafu hapo umeandika BE marufuku kuchangia hapa, unamaanisha nn na BE? Building Economics?

Nimekugongea thanx kwa useful post hii

Nikilia nabembelezwa kwa upendo, mida ya kubembeleza imewadia

. mnataka hata mnapofanya kosa msiambiwe kwa ukali...

Mkuu kwa hilo nawatetea, Binadamu yeyote hapendi kuelezwa kwa ukali pale anapokosea.. Kwa ujumla ukali au kukaripia karipia mtu siyo kabisa!

Umeona eeeee we umesema neno

Mkuu kwa hilo nawatetea, Binadamu yeyote hapendi kuelezwa kwa ukali pale anapokosea.. Kwa ujumla ukali au kukaripia karipia mtu siyo kabisa!

We una akili sana

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…