Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Nimekuwa na hili swali kwa muda mrefu sana.
Najiuliza "Hivi kwanini napenda sana kubembelezwa"???? NA kubembeleza????
Mwanzoni Husband alikuwa anashindwa ila siku hizi ha kila mara anafanya hivyo.
Ni kudeka, au ni kitu gani. Wakati nikiwa msichana mdogo nikiwa na mvulana usiponibembeleza nakupiga chini ila ukinibembeleza aahhh sikuachi.
Tena napenda yale maneno mazuri matamu matamu (Na mimi huwa nayatumia kwa sana) Baby, Darling, My Love, Sweetie, nk
NB: BE marufuku kuchangia hapa
Watu wengine bwana, kwani lazima uanzishe thread?? Wakati mwingine kama huna kitu cha maana unatulia na kusoma threads za wenzio.