Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
ndiyo maisha yalivyo siku hizi gentleman,Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana.
Iko hivi, sisi tuko washikaji wa nne na wote tumeoa ila tulikuwa hatuja Jenga, wote ni waajiriwa, Kwa kifupi sisi ni washikaji hasa kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu na shida zetu huwa tuna bebeana.
Kuna huyu mwenzetu mmoja toka mwaka Jana mwezi wa pili alimleta mama yake mjini akawa ana mtibia hapo Muhimbili, mama yake alikatwa mguu Kwa sababu ya kisukari, ila mama yake akawa amerudi kijijini, hivyo tukiwa tumeenda kunywa baa yeye akawa hachangii chochote tukawa tuna amini pesa zake nyingi Zina enda Kwa mama yake, najua wengi mnajua madawa ya kisukari,,
Kumbe bwana, mama yake alifariki mwaka Jana hiyo hiyo mwezi wa tano ila hakutuambia na tukawa tuna endelea Kuamini bado ana muuguza mama yake na tukawa tukienda baa pombe tuna nunua sisi.
Huwezi amini juzi mke wangu akaja kuniambia kuwa jamaa anajenga na kaambiwa na mke wa jamaa, na mwezi wa nane Wana hamia, ndo mke wangu akaniambia yote hayo kuwa mama yake na rafiki yetu alifariki toka mwaka Jana mwezi huo wa tano.
Aisee nime waelezea washikaji zangu wameumia sana, sikuwahi Kuamini kuwa Kuna wanaume wa aina hii, Yani kilicho tuumiza ni jamaa kufiwa na mama yake hakusema wakati mpaka tulikuwa tuna mchangia pesa za dawa, hapo Muhimbili ilikuwa Kila siku lazima tufike kipindi mama yake amelazwa, wake zetu walikuwa Wana weka Zamu kupeleka chakula pale hospitalini.
hii imezidi mkuu, rafikiyo kafiwa hasemi? na bado anakusanya michango yenu kitapeli kwenda kumalizia ujenziHuu ni u-snitch tu hakuna kingine
ndio ujengee pesa za wenzio in the name of michango ya kutibia mama?Sasa mlitaka mtu asijenge..?
Mweka mada umeleta lalamiko la ajabu sana na nafikiri hata huyo jamaa anamua kufanya mambo yake kimyakimya maana ameshawasoma tabia zenu!!.
Yani labda lalamiko mnalotakiwa kulileta ni kwamba mlikuea mmeshatengeneza ukaribu na familia yake hivyo taarifa ya mama yake kufariki ilipaswa awataarifu hayo mambo yakujenga sio yakulalamikia!. Huenda alitaka kufanya hata suprise siku akiwa anataka kuzindua angewapeleka mkafanya sherehe mkanywa na kula!, kiufupi wewe mweka mada ni mwenda wazimu!.
Hakuna ambae anauhakika na taarifa ya mweka mada hivyo hakuna wa kumlaumu hapa kumbuka stori haijabalance hii..ndio ujengee pesa za wenzio in the name of michango ya kutibia mama?
Ila anauthubutu na ujanja ujanja mwingi.hii imezidi mkuu, rafikiyo kafiwa hasemi? na bado anakusanya michango yenu kitapeli kwenda kumalizia ujenzi
Endeleeni kumchulia kama MTU mwenye changamoto, usiombe kumuuguza mama yako kwenye nyumba ya kupanga, wala msimtenge , Ila jueni Tu ameteseka Sana kipindi akimuuguza mama yakeSikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana.