shenz typ iyo ndo IQ yake !Duh kuna watu wana mbinu za kusurvive, sema inahitaji roho mbaya sana!![]()
NakaziaUkute shemeji yenu kachomekea uzushi makusudi ili asambaratishe hilo kundi, timu Chapombe. Fanyeni utafiti kwanza
Basi sawa, tusubiri ajazilize nyama!Hakuna ambae anauhakika na taarifa ya mweka mada hivyo hakuna wa kumlaumu hapa kumbuka stori haijabalance hii..
Ukiwa positive ni kweli, ila huwezi kuharibu katika jamii inayokuzunguka kwa maslahi yako binafsi haipishani na wale mafisiemu! Mtu ataibia serikali atajenga hotel bado ka invest ila kwa njia isiyo sahihi!Ila anauthubutu na ujanja ujanja mwingi.
Aliona akitoa taarifa,atapewa rambirambi kisha mambo yataishia hapo. Akajiongeza bora aendelee kupokea pesa za matibabu na kununuliwa pombe, ila sasa ameharibu kabisa urafiki wao uliokua imara na hasa wenzake kushiriki kumuuguza mama yake.
Nilitaka kukutag nikasahau ID yako!Nilileta humu uzi wa kufundishana unafiki, ubinafsi, uchoyo na ubinafsi kwa ujumla watu wakapuuza. Vitu hivyo ni muhimu sana.
IQ ya ujenzi?shenz typ iyo ndo IQ yake !
Upo sahihi kabisa mkuu,haya mambo ya kua grp sometimes yanaweza kumfanya mtu asifikiri zaidi,anakua anaona maisha ndio haya haya tu,Ndo maana haya makampani ya pombe siyataki... Mi naenda bar alone nakunywa pombe kwa pesa yangu, mtu anikute bar labda nimnunulie bia mbili tatu lakini sio kwenda wote kununuliana na kuchangishana hela za kulipa bills.
Nisipojenga nijilaumu mwenyewe sio mambo kuhujumiana kwenye pombe... Halafu pombe ni usenge tu sema basi tu
uaminifu muhimu aise, apo jamaa kapoteza uaminifu kwa best frendsIQ ya ujenzi?
Kwahio unafikiri hizo ambazo angenunua round hela za bia zenu mbili tatu ndio zinamuwezesha kujenga? Ingekuwa hivyo wasio kunywa pombe wangekuwa na magorofa na wanywaji wangekuwa homeless.Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana.
Iko hivi, sisi tuko washikaji wa nne na wote tumeoa ila tulikuwa hatuja Jenga, wote ni waajiriwa, Kwa kifupi sisi ni washikaji hasa kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu na shida zetu huwa tuna bebeana.
Kuna huyu mwenzetu mmoja toka mwaka Jana mwezi wa pili alimleta mama yake mjini akawa ana mtibia hapo Muhimbili, mama yake alikatwa mguu Kwa sababu ya kisukari, ila mama yake akawa amerudi kijijini, hivyo tukiwa tumeenda kunywa baa yeye akawa hachangii chochote tukawa tuna amini pesa zake nyingi Zina enda Kwa mama yake, najua wengi mnajua madawa ya kisukari,,
Kumbe bwana, mama yake alifariki mwaka Jana hiyo hiyo mwezi wa tano ila hakutuambia na tukawa tuna endelea Kuamini bado ana muuguza mama yake na tukawa tukienda baa pombe tuna nunua sisi.
Huwezi amini juzi mke wangu akaja kuniambia kuwa jamaa anajenga na kaambiwa na mke wa jamaa, na mwezi wa nane Wana hamia, ndo mke wangu akaniambia yote hayo kuwa mama yake na rafiki yetu alifariki toka mwaka Jana mwezi huo wa tano.
Aisee nime waelezea washikaji zangu wameumia sana, sikuwahi Kuamini kuwa Kuna wanaume wa aina hii, Yani kilicho tuumiza ni jamaa kufiwa na mama yake hakusema wakati mpaka tulikuwa tuna mchangia pesa za dawa, hapo Muhimbili ilikuwa Kila siku lazima tufike kipindi mama yake amelazwa, wake zetu walikuwa Wana weka Zamu kupeleka chakula pale hospitalini.
Huyo sio rafiki kabisa!uaminifu muhimu aise, apo jamaa kapoteza uaminifu kwa best frends
ni ubinafsi tu !Huyo sio rafiki kabisa!
Yaani nyinyi ni kweli Kila siku mlikuwa mkienda kumuona mama yake hospital ? 😄Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana.
Iko hivi, sisi tuko washikaji wa nne na wote tumeoa ila tulikuwa hatuja Jenga, wote ni waajiriwa, Kwa kifupi sisi ni washikaji hasa kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu na shida zetu huwa tuna bebeana.
Kuna huyu mwenzetu mmoja toka mwaka Jana mwezi wa pili alimleta mama yake mjini akawa ana mtibia hapo Muhimbili, mama yake alikatwa mguu Kwa sababu ya kisukari, ila mama yake akawa amerudi kijijini, hivyo tukiwa tumeenda kunywa baa yeye akawa hachangii chochote tukawa tuna amini pesa zake nyingi Zina enda Kwa mama yake, najua wengi mnajua madawa ya kisukari,,
Kumbe bwana, mama yake alifariki mwaka Jana hiyo hiyo mwezi wa tano ila hakutuambia na tukawa tuna endelea Kuamini bado ana muuguza mama yake na tukawa tukienda baa pombe tuna nunua sisi.
Huwezi amini juzi mke wangu akaja kuniambia kuwa jamaa anajenga na kaambiwa na mke wa jamaa, na mwezi wa nane Wana hamia, ndo mke wangu akaniambia yote hayo kuwa mama yake na rafiki yetu alifariki toka mwaka Jana mwezi huo wa tano.
Aisee nime waelezea washikaji zangu wameumia sana, sikuwahi Kuamini kuwa Kuna wanaume wa aina hii, Yani kilicho tuumiza ni jamaa kufiwa na mama yake hakusema wakati mpaka tulikuwa tuna mchangia pesa za dawa, hapo Muhimbili ilikuwa Kila siku lazima tufike kipindi mama yake amelazwa, wake zetu walikuwa Wana weka Zamu kupeleka chakula pale hospitalini.
Michango Gani kunua pombe za elfu 1 mia tano Kwa 2000 ni michango ya kujenga?hii imezidi mkuu, rafikiyo kafiwa hasemi? na bado anakusanya michango yenu kitapeli kwenda kumalizia ujenzi
Si kasema walikuwa wanamchangia pesa za matibabu😅Michango Gani kunua pombe za elfu 1 mia tano Kwa 2000 ni michango ya kujenga?
Hiyo sijaona, nb marafiki walevi ni wanafiki pombe wanakupa ila chakula hahahaSi kasema walikuwa wanamchangia pesa za matibabu😅