Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Una haki ya kula mshahara wako lkn huna haki ya kuhoji matumizi ya mshahara wangu😎
Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana.
Iko hivi, sisi tuko washikaji wa nne na wote tumeoa ila tulikuwa hatuja Jenga, wote ni waajiriwa, Kwa kifupi sisi ni washikaji hasa kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu na shida zetu huwa tuna bebeana.
Kuna huyu mwenzetu mmoja toka mwaka Jana mwezi wa pili alimleta mama yake mjini akawa ana mtibia hapo Muhimbili, mama yake alikatwa mguu Kwa sababu ya kisukari, ila mama yake akawa amerudi kijijini, hivyo tukiwa tumeenda kunywa baa yeye akawa hachangii chochote tukawa tuna amini pesa zake nyingi Zina enda Kwa mama yake, najua wengi mnajua madawa ya kisukari,,
Kumbe bwana, mama yake alifariki mwaka Jana hiyo hiyo mwezi wa tano ila hakutuambia na tukawa tuna endelea Kuamini bado ana muuguza mama yake na tukawa tukienda baa pombe tuna nunua sisi.
Huwezi amini juzi mke wangu akaja kuniambia kuwa jamaa anajenga na kaambiwa na mke wa jamaa, na mwezi wa nane Wana hamia, ndo mke wangu akaniambia yote hayo kuwa mama yake na rafiki yetu alifariki toka mwaka Jana mwezi huo wa tano.
Aisee nime waelezea washikaji zangu wameumia sana, sikuwahi Kuamini kuwa Kuna wanaume wa aina hii, Yani kilicho tuumiza ni jamaa kufiwa na mama yake hakusema wakati mpaka tulikuwa tuna mchangia pesa za dawa, hapo Muhimbili ilikuwa Kila siku lazima tufike kipindi mama yake amelazwa, wake zetu walikuwa Wana weka Zamu kupeleka chakula pale hospitalini.
Walevi hawa hata mia yao kuonja kasheshe! Atakupa kreti la beer ila sio elfu 50 yake!🙌🏾Hiyo sijaona, nb marafiki walevi ni wanafiki pombe wanakupa ila chakula hahaha
Hahahaha 🤣 kaka umeongea kwa hisia sana ety pombe ni usenge sema bcNdo maana haya makampani ya pombe siyataki... Mi naenda bar alone nakunywa pombe kwa pesa yangu, mtu anikute bar labda nimnunulie bia mbili tatu lakini sio kwenda wote kununuliana na kuchangishana hela za kulipa bills.
Nisipojenga nijilaumu mwenyewe sio mambo kuhujumiana kwenye pombe... Halafu pombe ni usenge tu sema basi tu
Huyu ni tapeli tuUkiwa positive ni kweli, ila huwezi kuharibu katika jamii inayokuzunguka kwa maslahi yako binafsi haipishani na wale mafisiemu! Mtu ataibia serikali atajenga hotel bado ka invest ila kwa njia isiyo sahihi!
Sa si muamie wote kwenye hiyo nyumba uo mwezi wa 8!!.Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana.
Iko hivi, sisi tuko washikaji wa nne na wote tumeoa ila tulikuwa hatuja Jenga, wote ni waajiriwa, Kwa kifupi sisi ni washikaji hasa kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu na shida zetu huwa tuna bebeana.
Kuna huyu mwenzetu mmoja toka mwaka Jana mwezi wa pili alimleta mama yake mjini akawa ana mtibia hapo Muhimbili, mama yake alikatwa mguu Kwa sababu ya kisukari, ila mama yake akawa amerudi kijijini, hivyo tukiwa tumeenda kunywa baa yeye akawa hachangii chochote tukawa tuna amini pesa zake nyingi Zina enda Kwa mama yake, najua wengi mnajua madawa ya kisukari,,
Kumbe bwana, mama yake alifariki mwaka Jana hiyo hiyo mwezi wa tano ila hakutuambia na tukawa tuna endelea Kuamini bado ana muuguza mama yake na tukawa tukienda baa pombe tuna nunua sisi.
Huwezi amini juzi mke wangu akaja kuniambia kuwa jamaa anajenga na kaambiwa na mke wa jamaa, na mwezi wa nane Wana hamia, ndo mke wangu akaniambia yote hayo kuwa mama yake na rafiki yetu alifariki toka mwaka Jana mwezi huo wa tano.
Aisee nime waelezea washikaji zangu wameumia sana, sikuwahi Kuamini kuwa Kuna wanaume wa aina hii, Yani kilicho tuumiza ni jamaa kufiwa na mama yake hakusema wakati mpaka tulikuwa tuna mchangia pesa za dawa, hapo Muhimbili ilikuwa Kila siku lazima tufike kipindi mama yake amelazwa, wake zetu walikuwa Wana weka Zamu kupeleka chakula pale hospitalini.
He’s wrong for that, kumisrepresent fact ni aina ya fraud.
Kutumia hela yenu ya bia bila yeye kuchangia pia in usnitch.
Ila yeye kujenga bila kuwaambia, trust me inatokana na story mnazopiga kwenye kijiwe chenu cha pombe……. He knows better.
OgaBoyYani kilicho tuumiza ni jamaa kufiwa na mama yake hakusema wakati mpaka tulikuwa tuna mchangia pesa za dawa, hapo Muhimbili ilikuwa Kila siku lazima tufike kipindi mama yake amelazwa, wake zetu walikuwa Wana weka Zamu kupeleka chakula pale hospitalini.
Sahihi!Huyu ni tapeli tu
Yah ni fraud alikuwa anafanya…Sawa hatukatai, kuficha msiba je?
Hahaha na kawasambaratisha kweli, hapa ndio tunasema Wanawake wanawazidi akili Wanaume wengi Tu, hapo kundi litakufa wataabza kuweka akiba wanunua viwanjaUkute shemeji yenu kachomekea uzushi makusudi ili asambaratishe hilo kundi la timu Chapombe. Fanyeni utafiti kwanza
That is why I'm oga the oga is short-term of ORIGINAL THEN COMBINE WITH BOY from my motherland Nigeria
HAhahaNdo maana haya makampani ya pombe siyataki... Mi naenda bar alone nakunywa pombe kwa pesa yangu, mtu anikute bar labda nimnunulie bia mbili tatu lakini sio kwenda wote kununuliana na kuchangishana hela za kulipa bills.
Nisipojenga nijilaumu mwenyewe sio mambo kuhujumiana kwenye pombe... Halafu pombe ni usenge tu sema basi tu
Mchawi huyo mkataeni...Sikuwahi Kufikiria Kama hata sisi wanaume tupo wenye tabia za ajabu kiasi hiki, itoshe kusema imetuumiza sana.